Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

Yanga inapaswa kufikiria kuachana na Kennedy Musonda.

Tokea aje hapa nchini, Musonda hajatoa kile kilichotegemewa kwa 100%. Ni mchezaji mzuri sana, lakini yapo yanayofikirisha juu yake.

Musonda hana muendelezo mzuri. Ni michezo michache sana amecheza kwa kiwango cha juu, iliyosalia anakuwa wa kawaida tu au kushindwa kutoa kitu chenye tija.

Nadhani, Yanga SC inapaswa kufikiria kumleta mchezaji bora zaidi yake. Ili timu kama timu ipige hatua kwenda mbele. Sio dhambi. Al Ahly iliwasajili Ahmed Kendouci, Walter Bwalya, na wakawaondoa haraka.. baada ya kuonekana hawaisaidii timu kwenda mbele zaidi.

Yanga SC wanapaswa waangalie mchezaji bora zaidi ya Musonda. Ili aje akisogeze mbele kikosi kutoka hapa kilipo na kuwa tishio zaidi hapa AFRIKA.
Mafi yako
 
Naunga mkono hoja
 
AENDE WAPI?UNAJUA YULE.MBURUNDI TUNAMLIPA KILA MWEZI NA ACHEXI YANG
 
Sasa ndugu mlalamikaji unajuwa kiwa dunian SAS HV Kuna shida ya striker Bora musonda kuliko baleke
 
Msonda utampenda pale team inapofanya pressing ni vigumu sana kupata mchezaji anayejituma kama yeye .. musonda aachwe ila aongezwe striker mzuri zaid kwenye finish wacheze pamoja zile game ngumu zaid utampenda zaid musonda jinsi anavojituma
 
Nafikiri mwamnyeto ndo aondoke yanga ni. Mchomaji sana, mechi zote ikitokea penat yeye ndo anasababisha, alafu ni mzito na sio mzuri kabsa kwenye 1 vs 1.

Mwamnyeto ni mzuri tu kwenye kuamzisha mashambulizi kitu ambacho mabeki wote wa yanga wanacho hata Gift Fred ni bora kuliko bakari ni basi tu.

Mwamnyeto Ana makosa mengi sana anazibiwaga na wenzake, nafikri tumuache tutafute beki wa kati au tumpe nafasi gift fred
 
unamsahau vipi mzinze kwneye list wewe shabiki wa uto?
 
Kwa wazawa waanze na kibabage, dogo sijui kwann anapata namba lakini hafai kabisa
Kibabage ni fullback mzuri ila tatizo akili akili akili, hajui kupandisha timu kama lomalisa, crossing ndo usiseme ni 0 , yule beki ni mzigo
 
Msonda jembe Sanaa,Bado anafaaa...shidaa tu hajatulia kwenye kufunga.Ila anapambana sana uwanjani hususani mechi Dume.Eg.Mamelod Ile akili ya kugawa pande kwa masta Ki hamna mwenye nayo pale makolonii, Anapigaga vichwa manula anajua. Skudu out ingiza Dune pancha💪
 
Zamani hata mm nilikuwa nawaza kama wewe. Ila baada ya kumfatilia nikagundua jamaa ni muhimu kuliko maelezo. Unahitaji jicho la 3 kujua umuhimu wa musonda. kwa jicho la kawaida utamchukulia poa.
Hakika, ndio maana first eleven huwa yupo hasa katika mechi ngumu. Kasi yake huwa inafanya mabeki pinzani wafanye makosa
 
Back
Top Bottom