Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

Yaani ulistahili utandikwe viboko 20

Unamjua musonda wewe?

Jiulize huku NBC anaweza asicheze ila CAF lazima acheze why?

Wa kusepa ni lomalisa na skudu hawa mchango mdogo lomalisa kashuka sana uwezo
 
Back
Top Bottom