leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Kwa nini CCM ndio huwa wanatoa uahauri wa mbowe kujiuzuru?Acha vijana wa ufipa waje uone hilo povu Lao!
Maana wao hawapendi kuambiwa ukweli dawa yao ni uongo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini CCM ndio huwa wanatoa uahauri wa mbowe kujiuzuru?Acha vijana wa ufipa waje uone hilo povu Lao!
Maana wao hawapendi kuambiwa ukweli dawa yao ni uongo tu.
Mkuu majibu yako ni mepesi mnoo kulinganisha na hoja ya mleta Uzi, kauli yako haina manufaa yoyote katika cdm, kwanini usijibu "constructively "?ccm achaneni na mambo ya Chadema, tunajua Dr. Slaa yuko kwenye payroll yenu kama Chadema inaharibikiwa si ndiyo furaha kwenu? pambaneni na ya kwenu.
Kwa sababu CCM ni msemakweliKwa nini CCM ndio huwa wanatoa uahauri wa mbowe kujiuzuru?
Kama ndio unawaza hivyo hata cku ukiskia chama kimefutwa hakikidhi vigezo ndio utagutukahahhahahah...kwamba wewe CCM ndio Mbowe anakuuma sana kiasi cha kutaka ajiuzulu...hahahaha
..mmmh utakuwa umelogwaMpaka sasa Chadema wapo katika njia sahihi, hakujawahi kuwa na chadema yenye utulivu na nguvu kubwa kuliko hii ya sasa, huo ushauri wenu mpelekeeni mwenyekiti wa ccm
Kwanza ungetueleza, how you, as an individual, would benefit with Mr. Mbowe's resignation.
same as nitakacho comment kwa wana CCM wanaohamia chadema its a selfish motive!Pili, una-comment nini kwa wana Chadema au wapinzani wanaovihama vyama vyao na kujiunga na ccm.
Toa ushabiki wa kisiasa, Lowassa alikua namba 1 list of shame mlioipresent nyie wenyewe chadema, so mlimhukumu na kuihubiri Tanzania nzima hii list!.Tatu, je m- ccm akihamia say Chadema na huku akiwa na tuhuma za ufisadi ambazo serikali imeshindwa kuzithibitisha je Chadema wamhukumu tu wao bila mahakama kuhusishwa?
Societal Education!Nne, nini maoni yako kwani hata wakuu wa chi hii nao hawako salama saaana kwani nao wana hizo tuhuma, unafikiri kwa maoni yako nini kifanywe? Please tell us.
It seems everyone is in CCM PAYROLLccm achaneni na mambo ya Chadema, tunajua Dr. Slaa yuko kwenye payroll yenu kama Chadema inaharibikiwa si ndiyo furaha kwenu? pambaneni na ya kwenu.
anavofeli sizonje kutuletea vivuko alafu anavificha uwani hii huoni..Failure ndio zinazomtaka aondoke kwenye kiti...sio mwanaccm
Mbowe ndo kiboko ya Maccm,.angekuwa mwingine angesharubuniwa kama hawa machumia tumbo tunayo yaona yana hama hama....Tume shuhudia Dr slaa, Lipumba na wengine wakirubuniwa na ccm kisha kusaliti na kuuza utu wao....ila Mbowe miaka nenda rudi kasimama imara...Mbowe Na azidi kuwa mwenyekiti tu.
Pamoja na kwamba mmempa uenyekiti wa kudumu, ni bora pia kuwa na mpango wa pili (Plan B) kwani na yeye ni binadamu! Aidha, kwa mkatadha huu, sioni ni kwa nini, kwa mfano, wana CDM hucharuka pale wanaposikia mapandekezo ya kumtaka raisi Maghufuli aongezewe muda hata baada ya miaka yake kumi (ambayo ni dhahiri), kumalizika!Mbowe ndo kiboko ya Maccm,.angekuwa mwingine angesharubuniwa kama hawa machumia tumbo tunayo yaona yana hama hama....Tume shuhudia Dr slaa, Lipumba na wengine wakirubuniwa na ccm kisha kusaliti na kuuza utu wao....ila Mbowe miaka nenda rudi kasimama imara...Mbowe Na azidi kuwa mwenyekiti tu.
He must goPamoja na kwamba mmempa uenyekiti wa kudumu, ni bora pia kuwa na mpango wa pili (Plan B) kwani na yeye ni binadamu! Aidha, kwa mkatadha huu, sioni ni kwa nini, kwa mfano, wana CDM hucharuka pale wanaposikia mapandekezo ya kumtaka raisi Maghufuli aongezewe muda hata baada ya miaka yake kumi (ambayo ni dhahiri), kumalizika!