Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Wanahangaika na mbowe,upinzani ni wananchi mnaowaongopea kwa viwanda hewa,na maendeleo ya vitu. Mngeweza kutekezera hata robo ya mliyoweka kwenye ilani,mbona mbowe na supporter wake wangepotea!
 
kweli eeeh...Tunaoevaluate failure zake ni sisi wanachadema sio nyie ccm
Waswahili tunausemi usemao "UKIVULIWA NGUO CHUTAMAA" na ndiyo busara. CDM kubalini tu kuwa kamati kuu yenu chini ya mbowe haikuwa na nia ya dhati kujenga chama halisi cha upinzani. MASILAHI BINAFSI YALITAWALA
 
Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.

Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.
A prophetic piece.
 
Mpaka sasa Chadema wapo katika njia sahihi, hakujawahi kuwa na chadema yenye utulivu na nguvu kubwa kuliko hii ya sasa, huo ushauri wenu mpelekeeni mwenyekiti wa ccm
Amina
 
Fair meningitis!
Meningitis iliyoboreshwa, isiyoweza kuua.
Mstari kwa mstari hadi mwisho ni madini tupu bila makinikia.
Sasa atakayekuchongolea mdomo kwa hili, muwekee "star" na "kumnote" ili baadaye asije akatusumbua kujikosha.
Maneno yote uliyoongea ni sahihi 100%, sichangii kurekebisha neno lolote miye.
Maneno kuntu yanayoishi!
Naishukuru JF
 
Yaonekana wanamwonea huruma. Mliishamlipia nyumba aloingizwa mjini na Jose sasa cha kumsaidia, SI mumtafutie nafasi huko. Awe msaidizi wa Mpolampola au mpelekeni idara ya Tambwe Hiza. Kumrudisha kama Propesa Lipumba, kwa CDM haitowezekana.

Yaani Leo sitaki hata kutoka kwenye huu uziiiiiii.
Na bado grand finale 2020
 
mkuu Chadema ni sikio la kufa acha wafe 2020 ndio akili zitagutuka
 
Back
Top Bottom