Awachane na uenyekiti apishe wengine, kwani chadema yupo yeye tu?Ina maana hawakoseani, mbona wahajafukuzana? Acha matamshi ya hvyo! Kama kuna wakati Mbowe anahitajika ni sasa. Risasi , mabomu, jela kesi kibao buila uongozi imara, CDM itasambaratika.
Kama umetumwa, kafie kaburini
Bavicha na mfalme wenu MboweHivi kwa nini maccm mnamuogopa sana Mbowe?
Nikuelimishe kuhusu sheria ya uchochezi ambayo wewe unaupractice humu. Ni kosa kubwa kushawishi watu au kikundi cha watu kufanya au kuvunja sheria. Hili unalolishawishi tena kwa kutumia mfano wa rais halali wa nchi huru utakuwa tayari kupambana na Kibatala? Dogo ishi maisha yako na iache ccm inayokutumia kinyume na maumbile!Na mugabe wa chadema ni nani?
Chacha wangwe na Zitto walivyohitaki kile kiti na kukiona cha moto kumbe ni UVCCM, kama upeo wako umeishia hapo hongera mjombaWADAU CCM kupitia UVCCM wanahangaika sana kujifanya ni Bavicha eti hawamtaki Mh.Feeeman MBOWE kuwa Mwenyekiti Wa Chadema.Najiuliza ni kwanini CCM haimtaki Mh.Mbowe? Ana madhara gani kwao?
Kwa mugabe wameanzia chamani?Tuanzie chamani, hili tukiondoa ccm tujue wanaochukua nchi si madikteta tena
Wanataka mtu anaenunulika kirahisiWADAU CCM kupitia UVCCM wanahangaika sana kujifanya ni Bavicha eti hawamtaki Mh.Feeeman MBOWE kuwa Mwenyekiti Wa Chadema.Najiuliza ni kwanini CCM haimtaki Mh.Mbowe? Ana madhara gani kwao?
Uchadema wangu au u UPDP Wang wewe unautaka ukatambike? Soma na jibu hojaWewe ni mwanachama wa CHADEMA?
Mugabe na Ccm hawana tofauti ni ndugu na dadaChacha wangwe na Zitto walivyohitaki kile kiti na kukiona cha moto kumbe ni UVCCM, kama upeo wako umeishia hapo hongera mjomba
Soma ueleweKumbuka mwenyekiti na mgombea Rais ni watu wawili tofauti, hebu nyinyi jitafakarini kama mnaweza kumrudisha JK awe chairman halafu huyu mhenga aendelee na nafasi aliyonayo!
Kwani ni lazima awe mwanachama wa chadema ndo aweze kuchambua masuala ya chadema?Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?