Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.
Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.
Na wakiwa huko kwenu sio mafisadi ila wakishatangaza nia ya kuhamia chadema tayari wanakua mafisadi., you guys are patheticTumekuelewa mkuu heri wewe unalijua ilo sasa hivi hicho chama ni dustbin mafisadi papa utawakuta umo CCM ikitapika fisadi CHADEMA wanapokea wanasema tumepata jembe
CCM ipi unayoisema wewe? Hii inayolindwa na polisi? Hakuna historia wala chama na usijidanganye hilo halipo kamweNi wehu tu kufikiri kuondoka madarakani kwa mbowe ni ishu ya CCM, kwahiyo wanachama wenyewe hawana akili za kutafakari siyo? Alafu unafikiri CCM ikiamua kuingilia hilo suala la kumng'oa Mbowe uenyekiti kwa hila zote inaweza kushindwa? CCM hawajataka na sidhani kama wametaka alafu ikashindikana. Tambua nafasi iliyonayo CCM katika nchi hii na uelewe unapoongelea CCM Tz kwa ujumla unaongelea historia ya nchi hii, serikali za hawamu zote tano na vyombo vyake. So, jitafakarini upya na chama chenu wenyewe.
Mkishawasafisha wanarudi CCM wakiwa safi te teh tehChadema nawakubali kwa kuwahubiria wahalifu Wokovu ili kuwa watu wema. Na mtu akiipata hii Itikadi ya Wokovu hubadilika kabisa sasa sijui Sisi ni lini tutacopy hii Itikadi ya wapinzani wetu ili kuwabadilisha wezi tulionao kwani ni kazi sana kujipa usafi tuosiokuwa nao
Kwa nini chadema inamuogopa JPM?Hivi kwa nini maccm mnamuogopa sana Mbowe?
Mku Wachaga hawarusiwi kuwa wanasiasa au chuki yako kwa vile elimu ya uraia kutoka kwa Mjerumani. Mimi ninaamini hili kabila halijifunzi kuishi ukitaka kulijua hilo nenda mahakamani kaulizue ktk miaka kumi iliyopita kuna Kesi ngapi za Miradhi.Mr Meningitis,yaani umesema yote lakini kuna watu wanaakili za kishikiwa,hata usema nini wao hawatofautishi kati ya maziwa na maji.haiwezekani ukaita sumu ikiwa kwangu na ikija kwako unaita dawa.Mbowe na uchaga ndiyo tatizo kwa chadema.
Hata Mugabe yuko StrongKadri siku zinavyokwenda ndio ninazidi kutambua kumbe Mbowe yuko strong sana ktk medani ya siasa kulinganisha na wenyeviti wengine. Mawe yamekuwa mengi sana kwake.... Hii ni baada ya kila jitihada za kumtikisa kushindikana!
Chadema ni jeshi linalopambana na ccm ili kuiondoa. Ni mtu mjinga tuu ndio ataamini akisikia jeshi la ccm linapiga kelele "mwondoe kamanda wa Chadema Mbowe! hafai, bora yule Slaa kuliko huyu anaua jeshi hili la Chadema mpaka tunalishinda"Hivi unaandika unachokielewa au unaandika tuu? CCM walijaribu kukibambikia CHADEMA kesi za ugaidi lskini wakagonga mwamba, huu unaouzungumzia ni upuuzi kudanganya mtu asiyezijua siasa za CHADEMA na CCM.Inawezekana wewe ni Pole pole uliyeambiwa unajifunza siasa
Hayo ni maigizo ya uchaguzi.Katiba na ilani ya chama cha mapinduzi ni kupokezana vijiti kwa mwenyekiti kila baada ya awamu mbili kumalizika pia uchaguzi lazima uwepo KUONESHA mteuliwa anakubalika kwa kiasi/ asilimia ngapi!
Nyie upande wa pili uchaguzi wa mwenyekiti nadhani toka 1995 mpaka mmejisahau kabisa.