Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Uko sahihi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila MWAKASIMBA waliovumbiwa MCHELE na VIAZI Mbeya watakuja kukunanga bunbaav zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kitotoNdio maana mashoga yamejaa huko mitaani yaani uwafundishe watoto kuweka mwiko nyuma?View attachment 2086004
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Nitakujibu pale tu Hasira zangu dhidi ya Kipigo cha Mbeya Jana, Kocha Pablo, Mshambuliaji Mugalu na Nahodha Boko.Salaaaam wana JF......
Nimekua kwenye tafakuri nzito ndani ya wiki hii kwenye suala la michezo ambayo kwa kiasi kikubwa inazidi kuteka hisia duniani na kufanikiwa kuiangusha tasnia ya muziki.
Ili kuleta maendeleo makubwa kwenye tasnia ya michezo ni lazima serikali kufanya mapinduzi makubwa kwenye mitaala ya elimu ambapo somo la YANGA lazima lianzishwe kwa faida zifuatazwo;
1. Somo la YANGA lita inspire wanafunzi wengi kupenda soka na kupunguza uhaba wa vijana wasio na ajira
2..Litafanikiwa kuijenga timu ya taifa kutokana na kuiga timu ya YANGA inavyocheza kwa nidhamu bila kutegemea kadi nyekundu waka penalt
Ongezea sababu zingine ....why YANGA ianze kufundishwa mshulen Kama somo
GENTAMYCINE
ChamasonMorisonBwalyason
Scars
View attachment 2085915
okwi boban sunzu
NAWATAFUNA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakujibu pale tu Hasira zangu dhidi ya Kipigo cha Mbeya Jana, Kocha Pablo, Mshambuliaji Mugalu na Nahodha Boko.
Nahisi GENTAMYCINE ningekuwepo Sokoine Stadium jana kuna Watu Watatu Mmoja wa Benchi la Ufundi, Mmoja Kiongozi wa Simba SC na wa mwisho ni Mchezaji ( tena Mgeni ) wa Simba SC ningewapiga sana Vichwa vyangu vya 'Kondoo' na hata Kuwavunja kabisa Meno yao ya Sebuleni ( ya mbele ) kwani ni Madunduna ( Wajinga ) mno.
Kabisa mkuu....mtibwa now wapo vzr .....mech iliyopita wameshindaTimu figisu tushaingia Moro, kuwapa motisha Mtibwa Sugar tumewaambia "tunataka kazi nzuri kama iliyofanywa na Mbeya city" na tumewaahidi milioni 50 za kifutia jasho endapo watamkung'uta tena Kolos FC..
Target yetu Yanga tumalize hili ligi mapema kabla ya mwezi wa 5 Kama inavyojulikana
Duuuh Koo kumbe jina la WANANCHI ....halikuja kwa bahati mbayaPale kwenye stori za pilika za kuikomboa nchi kutoka kwa waingereza 61- huko waiorodheshe na Yanga kama ndo timu pekee ya mpira kwenye nchi hii iliyoshiriki izo pilika kikamilifu kabisa mpk tukakomboka
hoja imepitaSalaaaam wana JF,
Nimekua kwenye tafakuri nzito ndani ya wiki hii kwenye suala la michezo ambayo kwa kiasi kikubwa inazidi kuteka hisia duniani na kufanikiwa kuiangusha tasnia ya muziki.
Ili kuleta maendeleo makubwa kwenye tasnia ya michezo ni lazima serikali kufanya mapinduzi makubwa kwenye mitaala ya elimu ambapo somo la YANGA lazima lianzishwe kwa faida zifuatazwo;
1. Somo la YANGA lita inspire wanafunzi wengi kupenda soka na kupunguza uhaba wa vijana wasio na ajira
2. Litafanikiwa kuijenga timu ya taifa kutokana na kuiga timu ya YANGA inavyocheza kwa nidhamu bila kutegemea kadi nyekundu waka penalt
Ongezea sababu zingine why YANGA ianze kufundishwa mshulen kama somo
GENTAMYCINE
ChamasonMorisonBwalyason
Scars
View attachment 2085915
okwi boban sunzu
NAWATAFUNA