Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Tuko kwenye taratibu za kuongeza somo la Yanga kwenye mitaala yote kuanzia nursery hadi vyuo vikuu au sio Shadeeya
 
Attachments

  • VID-20220109-WA0005.mp4
    4.6 MB
Sanamu yako ijengwe nje ya uwanja wa uhuru. Hii ni akili kubwa sana. Makolo hawawezi elewa
 
Timu figisu tushaingia Moro, kuwapa motisha Mtibwa Sugar tumewaambia "tunataka kazi nzuri kama iliyofanywa na Mbeya city" na tumewaahidi milioni 50 za kifutia jasho endapo watamkung'uta tena Kolos FC..
Target yetu Yanga tumalize hili ligi mapema kabla ya mwezi wa 5 Kama inavyojulikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kila team inayokutan na simba nyie mnaipa motisha? Kazi mnayo bas khaaaah
 
Sawa tu huu si muda wenu mfupi wa kutamba,ila ngoja kifurushi chenu milichojiunga kitaisha muda si mrefu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kila team inayokutan na simba nyie mnaipa motisha? Kazi mnayo bas khaaaah
Yaaaaah mkuu ....YANGA ni wanachi so popote tunaingia kuwapa support watanzania
 
Back
Top Bottom