Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Daaaah nmewah isikia hyo mkuu....kumbe ni kweli?
Kweli kabisa mkuu

Mfano unapasikiaga kwa Aziz Ally
Uyo ni mtanzania wa kwanza kumiliki gari ndiyo akawapa kina nyerere kufanyia kampeni.

Babu yake Dully Sykes Ally sykes mkuu wa mkoa wa Kwanza wa Dares salamm ndiyo mtanzania wa kwanza kuanzisha membership card za card za vyama

Yanga team ya kwanza ya mpira kuanzishwa na ina background na uhuru that's why wanajiita WANANCHI
 
Salaaaam wana JF,

Nimekua kwenye tafakuri nzito ndani ya wiki hii kwenye suala la michezo ambayo kwa kiasi kikubwa inazidi kuteka hisia duniani na kufanikiwa kuiangusha tasnia ya muziki.

Ili kuleta maendeleo makubwa kwenye tasnia ya michezo ni lazima serikali kufanya mapinduzi makubwa kwenye mitaala ya elimu ambapo somo la YANGA lazima lianzishwe kwa faida zifuatazwo;

1. Somo la YANGA lita inspire wanafunzi wengi kupenda soka na kupunguza uhaba wa vijana wasio na ajira

2. Litafanikiwa kuijenga timu ya taifa kutokana na kuiga timu ya YANGA inavyocheza kwa nidhamu bila kutegemea kadi nyekundu waka penalt

Ongezea sababu zingine why YANGA ianze kufundishwa mshulen kama somo

GENTAMYCINE
ChamasonMorisonBwalyason
Scars

View attachment 2085915

okwi boban sunzu

NAWATAFUNA
Acheni uzuzu. Yaani watoto wetu wajifunze tabia za ukabwili na umama j mashuleni? Hii nchi ni ngumu Sana.
 
Kweli kabisa mkuu

Mfano unapasikiaga kwa Aziz Ally
Uyo ni mtanzania wa kwanza kumiliki gari ndiyo akawapa kina nyerere kufanyia kampeni.

Babu yake Dully Sykes Ally sykes mkuu wa mkoa wa Kwanza wa Dares salamm ndiyo mtanzania wa kwanza kuanzisha membership card za card za vyama

Yanga team ya kwanza ya mpira kuanzishwa na ina background na uhuru that's why wanajiita WANANCHI
Daaaah nmepata jbu mkuu
 
Sisi ni WANANCHI mkuu......
kabisaaaa na chama ni wetu

735BFF36-F0D9-401B-82FA-655D3980D61B.jpeg
 
Back
Top Bottom