Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Ni wakati wa wanafunzi kujifunza kuhusu Yanga mashuleni kama somo

Sawa tu huu si muda wenu mfupi wa kutamba,ila ngoja kifurushi chenu milichojiunga kitaisha muda si mrefu.
Mkuu .....mpira ni pesa siyo janja janja .....hivi unazani kwa kikos cha YANGA kilivyo kinaweza kufungwa.?

As the time increases......the response toward kombe increase to YANGA ...other things remain constant
 
Utopolo mna furaha ya muda mfupi tu ,furaha ndogo ndogo za katikati ya ligi . Lakini kombe la NBC premier ligi msimu huu litakwenda kwa Simba Sc ,mnyama .
 
Timu figisu tushaingia Moro, kuwapa motisha Mtibwa Sugar tumewaambia "tunataka kazi nzuri kama iliyofanywa na Mbeya city" na tumewaahidi milioni 50 za kifutia jasho endapo watamkung'uta tena Kolos FC..
Target yetu Yanga tumalize hili ligi mapema kabla ya mwezi wa 5 Kama inavyojulikana
Huwa nakuamin sana mkuu hujawahi kufeli.Kilala kheri.
 
Utopolo mna furaha ya muda mfupi tu ,furaha ndogo ndogo za katikati ya ligi . Lakini kombe la NBC premier ligi msimu huu litakwenda kwa Simba Sc ,mnyama .
Bado upo usingizini ....shtuka mkuu
 
Huwa nakuamin sana mkuu hujawahi kufeli.Kilala kheri.
Mara mwisho pale manungu stadium.......MAKOLO walikufa 3_0

Then. Makolo walikimbia mech kwa kuleta vurugu
 
Back
Top Bottom