Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Swali la msingiKatiba inasemaje, walipompitisha kuwa mgombea mwenza hawakujua kuwa raisi anaweza kufa akiwa madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingiKatiba inasemaje, walipompitisha kuwa mgombea mwenza hawakujua kuwa raisi anaweza kufa akiwa madarakani.
Lakini mbona amewa"prove" wrong watu wengi sana...Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Sio kweli Maza ni mpaka 2030...huoni alivyo watoa TISS wengi walioshika vitengo enzi za mwendazake na kuweka reject wa kipindi cha mwendazake?Wasiojulikana, ndio maana ni ngumu sana maza kutoboa 2025. Yupo pale kwa hisani ya jeshi kulinda katiba, hisani hiyo ina expire 2025.
Na huko aliko bwana venance anajisikia aibu sana nina uhakika🤭🤭🤭.Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Ni wewe unadhani hivyo kwa sababu hujui maana ya historia na umuhimu wake. Usipojua ulikotokea na ulivyokabiliana navyo njiani na huwezi kujua uendako na utakavyokabiliana navyo.Mambo mengine yatupite jamani maisha yanaendelea hakuna sababu ya kurudi ya nyuma tena.
Chadema sijui wakojeHakuna mahali mabeyo amesema hvy, ww mtoa mada acha Usengerema
Masikio yenyewe unayo mpk usikie??? Tulia uhadithiwe tuHakuna mahali mabeyo amesema hvy, ww mtoa mada acha Usengerema
Mkuu uwezo wako ni mdogo, ukishajua kuwa uwezo wako ni mdogo ni bora uwe unakaa tu kimya. Sasa hata kuandika tu jina la Mabeyo kwako ni shida, unataka nani akufafanulie? Mbona clip yake iko wazi kabisa?Mbona hatujasikia hayo kwenye clip ya mabeho. Kama unamuwekea maneno vinginevyo tuwekee hiyo clip na sisi tusikie hayo unadai kasema.
Wakiogopa hijab itaonekana kimataifa?Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Umetoka lini kizuramimba bwana mdogo,karibu mjiniMbona hatujasikia hayo kwenye clip ya mabeho. Kama unamuwekea maneno vinginevyo tuwekee hiyo clip na sisi tusikie hayo unadai kasema.
Well, tangu ameapishwa cha maana kipi kafanya?wizi, ufisadi kila Kona, maigizo kila sehemu ili kupoteza lengo,Mara katoa pesa kununua kila gori LA yanga! Na wa bongo walivyo mazwazwa wala hawajiulizi hizo pesa anatoa za kwake mfukoni,au Kodi ya, nchi!? Kama ubora wa, mpira, ni kitu cha maaana Sana kiasi kwamba lazima mkuu wa nchi atoe pesa, hv mlishawahi, kusikia Waziri mkuu wa UK akitoa pesa kununua magori ya Manchester City, arsenal, nk?Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Walikuwa sahihi Sana [emoji38][emoji3] mnanicuekieshaAwali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
😂😂😂Imebainika Wale jamaa walikuwa sahihi
Kwa Katiba ya Afghanistan Tundu Lisu Mshindi wa pili 13% ndio angeapishwaBora hata huyu Mama kuliko wangemchomeka Magufulist Mashamba mwingine.