Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Lakini mbona amewa"prove" wrong watu wengi sana...
Samia anafanya vizuri kishinda hata Late JPM
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Na huko aliko bwana venance anajisikia aibu sana nina uhakika🤭🤭🤭.

Zile ziara ya kuaga aga akiwa anakwenda kustaafu zilikuwa ni za kumsihi akumbuke mchango wake katika yeye kuwepo pale.

Ndio maana wenzie akina saimon walipishana kauli na huyo bibi hadharani baada ya kugundua ni kizibo hata baada ya kukingiwa kifua.
 
Bora hata Kasim Majaliwa angepewa nchi!! Hazikuwa mbaya kupokea maana tulifiwa LAKINI wanaomtaka Tena 2025 wanatukosea kama nchi.
Hivi nchi imekosa wanaume wachapakazi mpaka "kichwa cha taifa" head of state awe mwanamke???
Hata ngazi ya familia mwanamke hawi kichwa cha familia labda baba afariki!!
Sasa 2025 tunapaswa tufuate mafunzo ya dini na tamaduni zetu kichwa cha nchi hakipaswi kuwa mwanamke labda msaidizi maana wanawake waliumbwa kuwa wasaidizi.
 
Mbona hatujasikia hayo kwenye clip ya mabeho. Kama unamuwekea maneno vinginevyo tuwekee hiyo clip na sisi tusikie hayo unadai kasema.
Mkuu uwezo wako ni mdogo, ukishajua kuwa uwezo wako ni mdogo ni bora uwe unakaa tu kimya. Sasa hata kuandika tu jina la Mabeyo kwako ni shida, unataka nani akufafanulie? Mbona clip yake iko wazi kabisa?
 
Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.

Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais

Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Wakiogopa hijab itaonekana kimataifa?
 
Well, tangu ameapishwa cha maana kipi kafanya?wizi, ufisadi kila Kona, maigizo kila sehemu ili kupoteza lengo,Mara katoa pesa kununua kila gori LA yanga! Na wa bongo walivyo mazwazwa wala hawajiulizi hizo pesa anatoa za kwake mfukoni,au Kodi ya, nchi!? Kama ubora wa, mpira, ni kitu cha maaana Sana kiasi kwamba lazima mkuu wa nchi atoe pesa, hv mlishawahi, kusikia Waziri mkuu wa UK akitoa pesa kununua magori ya Manchester City, arsenal, nk?
Juzi,kaalika wauza madafu ikulu! Hakuna tatizo, kualika wachuuzi, waje kuuza bidhaa zao, ikulu, tatizo wale vijana na manguo nguo Yao machafu, walipelekwa ikulu ili "ku catch attention" Ya, wananchi, ili woone ?mama samia, anajaaari Sana,
Wananchi hakuna anayewajali, nyie watoto wenu wapo st kayumba, wenzao, wapo school of tanganyika
 
Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.

Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais

Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?
Walikuwa sahihi Sana [emoji38][emoji3] mnanicuekiesha
 
Back
Top Bottom