Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Ile company nilikuwa Kabudi, Chamuhiro, Bashiru, Polepole, Lukuvi, Ndugai, Majaliwa , na Kalemani ...Nimejikuta namkumbuka Spika Ndugai.
Jamaa alikuwa hamkubali Rais Mwanamke. Akaja kuliwa kichwa
Wakakutana na mziki wa watu watatu tuu ... General Mwamunyange, CDF Mabeyo na Jakaya Kikwete ...
Watu wangefanya ujinga nchi nilikuwa inaenda kwenye mikono ya JWTZ .... Tungekuwa tunalala SAA 1 jioni