Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Nimejikuta namkumbuka Spika Ndugai.
Jamaa alikuwa hamkubali Rais Mwanamke. Akaja kuliwa kichwa
Ile company nilikuwa Kabudi, Chamuhiro, Bashiru, Polepole, Lukuvi, Ndugai, Majaliwa , na Kalemani ...

Wakakutana na mziki wa watu watatu tuu ... General Mwamunyange, CDF Mabeyo na Jakaya Kikwete ...

Watu wangefanya ujinga nchi nilikuwa inaenda kwenye mikono ya JWTZ .... Tungekuwa tunalala SAA 1 jioni
 
Kama ukisikiliza kwa makini maneno ya mstaafu CDF ...
Kuna ujumbe anataka kutuambia yaani anadai walimuongeza prof.dr mwingine ili asaidie matibabu na kwamba muda wote alikuwepo prof.JANABI..
sasa hoja IPO hapo kwamba janabi alikuwepo muda wote na JPM(Kwamba ameshiriki assassination!???)
 
Katiba inasemaje, walipompitisha kuwa mgombea mwenza hawakujua kuwa raisi anaweza kufa akiwa madarakani.
Umeuliza swali la msingi sana.
Kama kweli Samia hana sifa za urais basi aliyempitisha ni mpumbavu.
Alikuwa haijui Katiba ya nchi.

Huwezi kuteua mgombea mwenza ambaye hana sifa ya urais wakati Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu majukumu ya Makamu wa rais.
 
Kama ukisikiliza kwa makini maneno ya mstaafu CDF ...
Kuna ujumbe anataka kutuambia yaani anadai walimuongeza prof.dr mwingine ili asaidie matibabu na kwamba muda wote alikuwepo prof.JANABI..
sasa hoja IPO hapo kwamba janabi alikuwepo muda wote na JPM(Kwamba ameshiriki assassination!???)
Mashujaa wa Taifa,hata mi ningekuwa kwenye jopo la madaktari ningekata umeme
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu

Kamba tu, Jamaa walitaka kujimilikisha nchi na walihisi mapema tu kuwa Samia asingewaridhia kila watakachotaka.
 
Mbona ipo wazi kabisa; hao watu ni waliokuwa na taarifa za kifo sababu wasingeweza kushauri kama hawana taarifa za kifo.

Swali ni je, walishauri swala hilo kabla ya mama kupata taarifa za kifo au baada ya mama kupata taarifa za kifo.

Uchu, ubinafsi na tamaa za madaraka ni vitu vibaya sana. Vinauwezo wa kuliangusha taifa lolote duniani.

Prof. Shivji aliandika makala akasema kama sio yule mwenye nguvu ya juu kusema Katiba ifuatwe basi tulikuwa tunaangukia mtego mbaya kama taifa.

Sasa ni wazi kuwa hayakuwa propaganda bali mambo ya kweli. Ashukuriwe sana Gen. Mabeyo kwa utumishi na uzalendo wake.
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Comment ya kijinga kuliko zote hii. Kwahiyo wakati wanamteua Samia kuwa Makamu hawakujua kuwa kikatiba makamu ni mtu mwenye majukumu gani kikatiba?
 
Mbona ipo wazi kabisa; hao watu ni waliokuwa na taarifa za kifo sababu wasingeweza kushauri kama hawana taarifa za kifo.

Swali ni je, walishauri swala hilo kabla ya mama kupata taarifa za kifo au baada ya mama kupata taarifa za kifo.

Uchu, ubinafsi na tamaa za madaraka ni vitu vibaya sana. Vinauwezo wa kuliangusha taifa lolote duniani.

Prof. Shivji aliandika makala akasema kama sio yule mwenye nguvu ya juu kusema Katiba ifuatwe basi tulikuwa tunaangukia mtego mbaya kama taifa.

Sasa ni wazi kuwa hayakuwa propaganda bali mambo ya kweli. Ashukuriwe sana Gen. Mabeyo kwa utumishi na uzalendo wake.
Na kama Magufuli ndio angekuwa makamu na Samia Rais, baada ya kuapishwa hao wote waliotaka kuingiza nchi kwenye historia ya keep shetani wangekuwa hawapo duniani
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Sio sababu ya kutofuata katiba, alikuwa makamu wa raisi una maana gani ilikuwa nafasi kubwa, dharau za kishamba sana
 
Back
Top Bottom