Ngoja tusubiri tuone hiki kizazi cha wakinga ambao baadhi mmeelimika.
Ila kwa kizazi kilochopita ushirikina ulikuwepo kwa kiasi cha kutisha.
Nina marafiki zangu wawili wakinga, kwao kuna wamama wanacheka cheka tu, siku nzima kuhesabu vidole.
Kuna mwengine nae nlishuhudia anamfuga mbuzi tangu nipo darasa la tano hadi naingia form 5, enzi hizo huyu mzee kila wiki mara 3 anaenda makete huko anazuga kabeba kuni kutoka makete kwenye surf yake kumbe watu tulishajua.
Pia mwengine hapa Mbeya ana gesti yake, nje kuna mbwa koko wengi hataki wafukuzwe.
Kiufupi nmeishi na wakinga, ni watu smart, ila linapokuja swala la ushirikina hapo ndio nawakwepa.
Wakinga wanapenda toyota surf aisee 😂😂😂😂