Airfryer
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 430
- 1,039
Unamfahamu Mwakipande au humfahamu?Ni Mbena
Unafahamu Leonard au humfahamu?
Mimi nimefika kwa Mwakipande the Leonard
Nilipada gari toka Njombe mpaka Ikonda, Baada ya kufika Ikonda nikakodi boda boda kuna milima balaa mpaka kwa Mwakipande, Simu network mpaka upande mlimani
Nimelala hapo Kwa Mwakipande na kaburi hilo la mleta mada nalifahamu
Na nimefika huko mambo yangu yamenyooka
Anachoongea mleta mada kina maana sana
Wewe hujui biashara wala hufahamu kitu
Mleta mada Nakubaliana nae asilimia 100% ni mzaliwa wa huko na ana undugu na hao watu
Mleta mada hapa JF alikuwa mwana ccm na mtetezi wa JPM, Ameleta mada nyingi sana sio kama wewe
Wewe unamjua Leonard Mwakipande, Hebu elezea kama unamjua kwa kueleza umri wake ni Mzee au kijana na ana wake wangapi?
Aliyefika huko anafahamu ana wake wangapi na anafahamu umri wake kwani lazima aseme anapoagua
Ongea ana mke au wake wangapi?