Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi wewe unaelewa maana ya kufanyakazi kwa bidii?Mkuu Mimi sio mkinga Ila nnaishi nao na nafanya nao kazi mpaka leo, nawajua in and out
Kuhusu ushirikina hakuna kabila lisilo na washirikina
Wakinga wanatoboa kwa njia kusaidiana, kufanya kazi kwa bidii bila kusahau ubahili uliopitilizaaa