Ila siyo Wapumbavu kama wewe!!!Siasa inataka akili na Wakinga hawana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila siyo Wapumbavu kama wewe!!!Siasa inataka akili na Wakinga hawana akili
Teteete na Prado zenu old model, kuna tatizo hamko sawa kuna shida kubwa snNi maneno ya watu, Sio kweli
Fuatilia uchapa kazi, Wakinga hawatumi mtu ni kazi kazi
Hatuchagui kazi
Unajua mimi watu huwa nawaangalia tu hivi muha anamali gani ya kushangaza? Mi bora hata Wakinga kidogo! Kuna watu ni very calm lakini wanamaisha makubwa sana! Hata wakurya tu hawaonekani sana maana wako na wilaya moja ya tarime ila kwenye maisha ya biashara wako mbali!Tetete wakinga wana mali gani na waha? wachaga sawa
NakaziaHii mada kuna watu wanasema ni ukabila lakini kiukweli ina madini ya kutosha.Ukizingatia ushauri huu unaoutoa unakuta muda mwingi watu tumechezea hela kwa sababu hatukuwa na malengo
Umenikumbusha mfanyibiashara mmoja wa mabasi Njombe aliyekuwa anaitwa Widambe.Naye alikuwa na chumba ambacho ndugu walikuwa hawaingii.Alifia Mnazi Mmoja kwa kukanyagwa na gari.Nasikia alivunja masharti ya kutoacha mlango wazi, mkewe akaingia akaona vimbwanga vilivyokuwemo.Naambiwa alikufa saa ile ile mkewe aliyofungua mlango.Yuko mmoja mfanyabiashara enzi hizo, mbinu za mdani za kuweka akiba ya savings alizotumia ni kuwa na selifukonteni ya choo cha shimo, kulala kwenye kitanda cha kamba na mkeka, kuvaa suti na kandambili. Vyumba vyao wanavyochimbia fedha ni marufuku kwa mwanafamilia mwengine kuchungulia humo.
Kama ukuhusisha familia kwenye biashara zako ukifa lazima biashara zife, hili si la wakinga bali ni kwa Watanzania wote.
Ni kelele tupu hawana loloteUnajua mimi watu huwa nawaangalia tu hivi muha anamali gani ya kushangaza? Mi bora hata Wakinga kidogo! Kuna watu ni very calm lakini wanamaisha makubwa sana! Hata wakurya tu hawaonekani sana maana wako na wilaya moja ya tarime ila kwenye maisha ya biashara wako mbali!
Acha uongo mkuuUnamfahamu Kasisi wa Paradise Hotel pale Soweto Mbeya. Mbona anaishi kwenye nyumba ya matofali haina umeme
Unaona ni sifa nzuri kuwa bahili? Kipato hakijifichi ukiweza kuficha kipato kama si mchawi basi akili yako haiko Sawa. Siwezi kumiliki asset ya Milioni 200+ ambayo ipo kwenye mzunguko alafu utegemee kukutana na Mimi kwa mama ntilie ao Karume nachagua mtumbaWewe ni muongo na story zako za vijiweni hebu tuambie ni nani unae mfahamu na umemuona kamuweka mzazi kwenye chumba cha siri.
Hilo la ubahili ndilo linafanya wakinga hata wakitajirika wasiishi maisha ya anasa ndicho nimejifunza kwao kwa kweli ni mabahili kwelikweli tena hasaa, hata kununua nguo tu huwa anaona anapunguza pesa kwenye mzunguko wa biashara yake.
Inategemea na kipato cha mtu, narudia tena NI uchawi ao ukosefu wa akili. Una asset ipo kwenye mzunguko kwa siku hukosi faida ya laki 1, alafu ushindwe kunywa BIA ya 100,000 Weekend kisa unajenga ?Kiongozi usiseme ubahiri, Sisi sio wabahiri tunakua na Malengo
Ukiwa na Lengo huwezi kula pesa hovyo hovyo
Una lengo la kujenga nyumba, Unaweza tumia 100,000 Bar? Ukigawa 100,000 kwa tofali la 1000 unapata tofali 100
Mtu akiomba laki 100,000 nitampa au nitanunua tofali.? Lazima ninunue tofali
Kutembea na bidhaa mkooni Kariakoo huku una mtaji kiasi cha 100ml eti kuusoma mchezo!!!! Icho NI kipimo cha uchawi ao ukosefu wa akili.Hata mimi wakati nakuja Dar kwa mara ya kwanza nilikuja na nguo moja tu ambazo ndio nilikuwa nimezivaa, Sio kwamba wazazi hawakuwa na pesa au Mimi sikuwa na pesa ni njia za kusoma mazingira tu
Nikiwa na umri wa miaka 10 nilikuwa ninajua aina za misumeno ya kupasulia mbao na aina za mbao na jinsi ya kufunga mzigo na kuusafirisha Dar kwa wazazi
Nilifahamu hata tani kwa kuona tu idadi ya mbao
Na wazazi wameishi hapo Dar kitambo wakiuza mbao maeneo ya Buguruni na Mwenge enzi hizo
Unapoenda kufunga mzigo kijijini wa viazi au maharage ukivaa kiheshima utapigwa sana bei, Kila Mkinga anajua hilo bora uonekane fara
Kuuza chai hata Mimi nilifanya ili Kuzoea mazingira na vichochoro vya kariakoo
Usipozunguka utajifunza muda gani, Unapouza kashata unapata story watu wanaishi vipi, wanakaa vipi
Sio kweli ukiona Mkinga anafanya umachinga ukafikiria hana pesa
Mkinga anaweza akajifanya machinga wa vyombo huku anazaidi ya mtaji wa Milioni 100.Ni kusoma mazingira na Kujifunza kuna siku ukianguka utapambana vipi
Ishu ni lengo. Anauza kashata ili afikie lengo,
Toa ushuhuda imefanyiwa ushirikina gani na Mkinga iwe wewe mwenyewe binafsi ama familia yako...Nyie ni washirikina sn
Rudi shuleToa ushuhuda imefanyiwa ushirikina gani na Mkinga iwe wewe mwenyewe binafsi ama familia yako...
Au umekariri stori za kwenye kahawa mzee.
Wengine wanakuja tayari wana mitaji yao, ile kuuza kahawa na kashata ama umachinga ni njia ya kusoma mji...Naomba tujuze kidogo, hivi inakuwaje Mkinga anakuja hapa Dar yuko hoi kiuchumi, atauza kahawa na kashata kwa mwezi tu, mwezi unaofuatia anakuwa na frames kadhaa Kariakoo, inawezekanaje hili?
Uchawi hauna kabila wala Rangi...sijui unasemea wachaga gani mzee..Bado suala la kafara za binadamu kwenye utajiri wa wakinga ni kubwa sana, bado wakinga wana safari ndefu ya kupata utajiri wa kutumia akili na sio ndagu. Wachagga wapo mbele sana kwa hilo.
Kweli kabisa. Wako wapi akina Safina Bus, Widambe au Fresh ya Shamba.Mkinga akifa na mali zinakufa
Ni watu hatari snKweli kabisa. Wako wapi akina Safina Bus, Widambe au Fresh ya Shamba.
Alibadilisha kabila kumbe!Wakinga wastaarabu sana.
Ona Mangula alovyopewa sumu, mzee wa watu akasamehe tu.