Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Unamfahamu Mwakipande au humfahamu?

Unafahamu Leonard au humfahamu?

Mimi nimefika kwa Mwakipande the Leonard

Nilipada gari toka Njombe mpaka Ikonda, Baada ya kufika Ikonda nikakodi boda boda kuna milima balaa mpaka kwa Mwakipande, Simu network mpaka upande mlimani

Nimelala hapo Kwa Mwakipande na kaburi hilo la mleta mada nalifahamu

Na nimefika huko mambo yangu yamenyooka

Anachoongea mleta mada kina maana sana

Wewe hujui biashara wala hufahamu kitu

Mleta mada Nakubaliana nae asilimia 100% ni mzaliwa wa huko na ana undugu na hao watu

Mleta mada hapa JF alikuwa mwana ccm na mtetezi wa JPM, Ameleta mada nyingi sana sio kama wewe

Wewe unamjua Leonard Mwakipande, Hebu elezea kama unamjua kwa kueleza umri wake ni Mzee au kijana na ana wake wangapi?

Aliyefika huko anafahamu ana wake wangapi na anafahamu umri wake kwani lazima aseme anapoagua

Ongea ana mke au wake wangapi?
 
Mimi mwenyewe Mkinga. Hadithi yake ni ndefu. Mimi nimechukua sehemu ninayoifahamu aliyoizungumzia isivyo. Uchawi anazungumzia yeye mimi siufahamu ndiyo maana namshauri mwenzangu azidishe zaidi huko kama mimi ninavyozungumzia ninayo yafahamu ya sisi Wakinga. Kama uelewa wako ni mdogo basi usiuoneshe hadharani.
Wewe ni kichaa, Wapi mleta mada ameongelea uchawi wewe

Wewe ni mpumbavu, Soma kilichoandikwa
 
Kuna jambo alilieleza fred vunjabei kwenye moja ya intaviu yake clouds fm... Ishu ya wakinga kuigana...
Zaidi napenda sana mnavyoshikana mikono ktk harakat za utafutaj.
Kwa ndumba huwa mnatuficha.
 
Angalau basi ufiche upumbafu wako hizi ni zama za uwazi kila anayetaka kujua ukweli ataujua tu. Ama na wewe ni walewale so unatafuta kuhalalisha. Miezi ya kafara za damu za binadamu hii wa 10 na 11. Wa 12 kwenda kuvuvia kafara hizi kwa damu za mbusi, kondoo na ng'ombe. Sijajua kuhusu damu ya kitimoto/noah kwenye kafara. Ndege maarufu ni njiwa, kuku na mayai ya bundi.
Mbona wewe ndiyo unaonekana mpumbavu. Zama hizi unaamini kuna pesa za uchawi! Unatofauti gani na kinjekitile aliyeamini risasi itageuka maji?
 
Kuna Mkinga anaitwa Mbilinyi? Uko sawa kichwani au ndio umeshapasha komoni?
Wako wengi tu mfano Bilionea Naflesi Mbilinyi ni mkinga, Mwandavala Mbilinyi ni mkinga nk...nk

Joseph Mbilinyi aka Sugu ni mkinga pure!

Mchungaji Peter Msigwa ni Muwanji wa Makete pia!
 
Maandamano na mikutano ya CDM
Mbona hao watalii huko kwenye nchi zao ndio kuna maandamano kuliko hapo Arusha?

Tatizo ni maandamano au tatizo wale wanaoingilia maandamano?

Hakuna nchi iliyoendelea isiyokuwa na maandamano au shughuri za kisiasa.
 
Wakinga wakinga wa mwakipande,wazee wa UTAJIRI WA PUNJE
 
GUSSIE wewe ndo mbunge wa Sasa pale BULONGWA MAKETE #VEVE SENATOR? HONGERA SANA KWA KULETA MADINI HAYA HAPA...MKINGA NDELEKENGA
Ubahili kwa mkinga kwa mhindi Ni nidhamu ya pesa,wakinga Wana nidhamu na Pesa
 
Inasikitisha sana kuona kuwa bado kuna watu wanaamini kuna utajiri wa uchawi. Hii inaonyesha jinsi gani akili za watanzania bado hazijamature kabisa. Wakinga wanasaidiana sana, wanamaSACCOS, na niwafanyabiashara wazuri. Nahisi ugumu wa maisha milimani kwao ndiyo ulifanya waelekee kwenye biashara. Utawakuta kuanzia uchinga hadi biashara kubwa.
 
Yaani unajudge kwa kutumia story za kusikia kwa watu? Hukuwahi sikia miaka Fulani Njombe mtu akifa walkuwa lazima waende kupiga ramli na aliyemroga lazima apatikane.Kumbe vifo vilikuwa vinatokana na Ukimwi.Nawe Leo unatumia story za kusikia kuwa huyu mchawi.Embu prove wewe Kama wewe unaprove vipi kwamba wakinga ni wachawi,achana na habari za kusikia.Wewe Kama wewe unaprove vipi habari za ushirikina na makafara?
Wewe utakuwa Mkinga, maana unatetea kweli kweli.Anyway najua ni kweli.Na ile issue ya watoto ku-disappear Njombe unaizungumziaje,ule nao ulikuwa uongo hawakupotea ulikuwa uzushi?Maana JPM ilibidi aungilie kati.
 
Mada nzuri. Nakubali kwamba Wakinga wapo vizuri kwenye biashara hasa kizazi chao kipya hiki cha sasa. Lakini mimi nakataa vitu viwili kwenye hii mada:
1. Kuamini kwamba ubahili kupita kiasi unaweza kuwa chanzo cha kutajirika
2. Kuaminisha watu kuwa wakinga ni washirikina ndio maana wanafanikiwa kibiashara.
Mimi nakataa dhana zote mbili.
Tukubali kwamba mafanikio ya kibiashara ni umadhubuti wa kutumia akili(mental smartness) na ubunifu.
Mimi nafanyia kazi zangu nyingi katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini ambayo kimsingi ni mikoa ambayo imeshikwa na wakinga kiuchumi sana.
Sijaona mkinga aliyefanikiwa anayevaa vibaya, ambaye hana gari, asiyewatoa washikaji zake bia, nyama choma.
Kuanzia wanaochimba dhahabu Chunya, Wafabiashara wa vitenge na vipodozi Tunduma, wamiliki wa hotel Mbeya mjini, wamiliki wa bar Mbeya, wamiliki wa maduka Makambako na maeneo yote.
Sijawahi kurealize hizo tabia zinazosemwa.
Ninachoona kwa wakinga ni umadhubuti wa kutumia akili.
Kufanya economics of scale na kutake risk.
Lakini pia kuwa tayari kusubiri payback period ya mradi wake.
 
Mada nzuri. Nakubali kwamba Wakinga wapo vizuri kwenye biashara hasa kizazi chao kipya hiki cha sasa. Lakini mimi nakataa vitu viwili kwenye hii mada:
1. Kuamini kwamba ubahili kupita kiasi unaweza kuwa chanzo cha kutajirika
2. Kuaminisha watu kuwa wakinga ni washirikina ndio maana wanafanikiwa kibiashara.
Mimi nakataa dhana zote mbili.
Tukubali kwamba mafanikio ya kibiashara ni umadhubuti wa kutumia akili(mental smartness) na ubunifu.
Mimi nafanyia kazi zangu nyingi katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini ambayo kimsingi ni mikoa ambayo imeshikwa na wakinga kiuchumi sana.
Sijaona mkinga aliyefanikiwa anayevaa vibaya, ambaye hana gari, asiyewatoa washikaji zake bia, nyama choma.
Kuanzia wanaochimba dhahabu Chunya, Wafabiashara wa vitenge na vipodozi Tunduma, wamiliki wa hotel Mbeya mjini, wamiliki wa bar Mbeya, wamiliki wa maduka Makambako na maeneo yote.
Sijawahi kurealize hizo tabia zinazosemwa.
Ninachoona kwa wakinga ni umadhubuti wa kutumia akili.
Kufanya economics of scale na kutake risk.
Lakini pia kuwa tayari kusubiri payback period ya mradi wake.
Kuna watu wana waza kila tajiri ni mchawi na Halipi kodi

Ni tatizo kwa watanzania wengi
 
Mbena na Mhehe ni walewale tu. Mfugale, Msigwa, Kalinga, Chumi, Kigola, Nyagava, Mligo, Kabelege, n.k Humo ndani kuna wahehe na wabena. Hawa watani zangu wahehe/wabena ni watu wema sana, ila ukiwaudhi shingo yako inakuwa mti wa kujitundikia
Msigwa ni kinga sio bena Wala hehe
 
Uchawi hauna kabila wala Rangi...sijui unasemea wachaga gani mzee..
Nakubali tunazidiana kwa viwango vya uchawi wachagga wakiwa mbumbumbu wakubwa wa uchawi. Hawajui kitu.
 
Sio kweli hili unalosema, ukiona mkinga kaja Dar sio kwamba kaanzia kupambania Dar utakuta kaanzia mbeya huko, au tunduma au Zambia au njombe, sasa kwenye kuusoma mchezo ndio anajitahidi kufanya kitu cha kawaida kabisa lakini anamtaji wake, au ana binamu au kaka yake ambae anamfundisha kazi hivo pamoja na mtaji wake huku akisubiri kuongezewa na kupewa njia hana budi kukaa pale kwenye duka la kaka au binamu awe kama mfanyakazi ili ajifunze kazi ikoje.
Ni swali la ukweli nimekuuliza kwa sababu namfahamu Mkinga mmoja aliyekuwa muuza kahawa na kashata na sasa (toka mwaka juzi) ana maduka pale Kariakoo, akiulizwa na washikaji anasema ni biashara yake ya kahawa na kashata ndiyo iliyomfikisha pale. Pia kuna tetesi zinasema, kila mwaka yeye lazima akafanye sadaka kwao na akirudi anafungua frame ingine.
 
Back
Top Bottom