Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Nataka kuoa mke mkinga hasa dada yako bila masharti je nitapata awe mzuri lkn! na mchapa kazi! hata km huna Dada nataka mwenye asili ya utajiri!
 
Mkuu watu wa vijijini wanaigna magari sana huyu akinunua Kluger au Harrier wote wananunua hayo hayo mfano Tukuyu Toyota Gaia ni mengi sana....kama vile Dar na IST
 
Je, ilishawahi kutokea mkinga na mpare wakafunga ndoa?
Je, waliweza kupata watoto?
 
Ila wakinga noma sana.
Kumtoa hela mkinga hata kwa faida yake mwenyewe ni kama kukamua jiwe upate juisi.
Ni wagumu kinoma.
Wako tayari hata kunyongwa lakini pesa isitoke, watu wanawasema wapare ni mabahili, hawajawaona wakinga.
Ktk komenti zote humu ww ndio umenifanya nicheke sana kwa leo. Wakinga wa leo hatuna ugumu wowote. Wagumu walikuwa wale wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…