Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

Kiongozi usiseme ubahiri, Sisi sio wabahiri tunakua na Malengo

Ukiwa na Lengo huwezi kula pesa hovyo hovyo
Una lengo la kujenga nyumba, Unaweza tumia 100,000 Bar? Ukigawa 100,000 kwa tofali la 1000 unapata tofali 100

Mtu akiomba laki 100,000 nitampa au nitanunua tofali.? Lazima ninunue tofali
 
Ila wakinga noma sana.
Kumtoa hela mkinga hata kwa faida yake mwenyewe ni kama kukamua jiwe upate juisi.
Ni wagumu kinoma.
Wako tayari hata kunyongwa lakini pesa isitoke, watu wanawasema wapare ni mabahili, hawajawaona wakinga.
Huu mwezi October, Weka lengo kuwa January inabidi uwe na Milioni 2 kwa ajili ya kwenda Serengeti National Park

Hakika mtu akiomba huwezi kutoa pesa yako

Anza na lengo kwanza

Ukiwa na Lengo unakuwa mgumu sana
 
Ila kaubahili mnako wakinga aisee sasa sijui tuseme ubahili au ndio nidhamu ya pesa lakini daah! Wakinga kwenye pesa matumizi yao magumu sana
 
Ila kaubahili mnako wakinga aisee sasa sijui tuseme ubahili au ndio nidhamu ya pesa lakini daah! Wakinga kwenye pesa matumizi yao magumu sana
Unaowasaidia hawawezi kukusaidia baadae, Baadae unakuwa peke yako hakuna Rafiki au Ndugu

Jifunze kusema hapana ukiombwa Pesa

Sema hapana au sina Pesa, Weka malengo

Sisi wakinga tunasaidiana sana unaweza mleta dogo toka Makete aje kukusaidia kazi, Akizoea unampa mtaji ili nae amlete dogo mwingine ndio maisha yetu

Wakinga kwa wakinga tunasaidiana sana, Uliza story ya kila Mkinga anamshukuru Mwenzake

Makabila mengine hawasaidiani wanataka status

Wakinga tunasaidiana sana kwenye biashara zetu mkuu
 
Hizi mada za ukabila nazichukia kwelikweli naziona ni takataka kama kinyesi.Zinatusaidia nini sisi? Baadala ya kuongelea Taifa letu tunalikwamuaje sisi tunakazana na ukabila.Muafrika Mungu kamnyima akili na fikra ndoo maana yote haya yanatokea.
Mpumbavu pekee ndo atachukia mada kama hizi. Kitu muhimu ni kuona kuwa mtoa mada analenga nini, lugha anayotumia n.k. Mtu hatukani kabila lingine, hatukani dini ya mtu, hana lugha yoyote mbaya ya kutweza ama kubagua wengine just anaridhisha nafsi yake na wale wanaokubali mada yake shida ipo wapi?

Aidha, umelazimishwa na nani kusoma? Si uneona kichwa cha mada? Si uishiti tu? Kwani, humu JF unasoma kila uzi? Mbona kuna uzi mamia unapotezea,inakuwaje unase hapa? Si kwamba una tatizo binafsi?

Acha bullying za kipumbavu na heshimu mawazo ya wengine.
 
Huu mwezi October, Weka lengo kuwa January inabidi uwe na Milioni 2 kwa ajili ya kwenda Serengeti National Park

Hakika mtu akiomba huwezi kutoa pesa yako

Anza na lengo kwanza

Ukiwa na Lengo unakuwa mgumu sana
Mkuu nina nyumba small mkinga, ni mzuri balaa, ila siku akitaka kitu kwako utazimia.
Na siku ukitaka hata laki kwake utaomba dunia isimame.
Ila tuko vizuri naye.
 
Wanapenda sn nguvu za giza
 
Kwenye hilo la kusaidiana sina swali nimelishuhudia mwenyewe kwa macho ila la ubahili mpo mmetisha
 
Nyie ni washirikina sn

Hii ni notion tu lakini kama anavosena Seneta kwenye hii maada ametufundisha mambo mengi, siri ya mafanikio ni kazi na malengo lakini pia nidhamu ya pesa, wakinga kwenye uchawi tunawaonea bure maana nimefanya biashara na wakinga hawa jamaa waaminifu sana na hawana dhuluma kwa watu wengine.
 
Zile kafara za watoto huwa zinawaongezea utajiri au ni uongoo...!
 
Kwanini waitwe wachawi wao tu? inamaana wakinga wanamaendeleo sn kiasi kwamba tunawaonea wivu? hakuna lolote
 
Twa kusisimka mkuu 😆😆,waambie chadema siasa sio kazi
 
Mkuu kwa nini saizi tumeacha ibada zetu za asili hususani pale Ikonda Tulikuwa kila alhamisi ni siku ya ibada lakini saizi mbona hakuna.?

Pili Kwa nini saizi miaka hii wakinga tumekuwa tunahaso Sana kwenye utafutaji sawa tuu na makabila mengine maskini tofauti na zamani? Nyota zetu zikeenda wapi?

Tatu Ikonda wewe ni ukoo gani maana na mimi ni natokea Ikonda kwenye ukoo wa Kina Sanga( Kivevele)..
 
Bado suala la kafara za binadamu kwenye utajiri wa wakinga ni kubwa sana, bado wakinga wana safari ndefu ya kupata utajiri wa kutumia akili na sio ndagu. Wachagga wapo mbele sana kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…