Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Shukrani sana mkuuHiyo No.3 ni Vincenzo Jr. Mtu wa system ni britanicca. Mshana Jr ni kama Federico Valverde anaplay number zote
Shukrani sana mkuuHiyo No.3 ni Vincenzo Jr. Mtu wa system ni britanicca. Mshana Jr ni kama Federico Valverde anaplay number zote
😂😂😂 AiseeHiyo No.3 ni Vincenzo Jr. Mtu wa system ni britanicca. Mshana Jr ni kama Federico Valverde anaplay number zote
you're welcome, na pia hongera sana naona member wengi sana wanaijua haiba yakoShukrani sana mkuu
Mrushie Vincenzo Jr namba ya tipwa tipwa lolote akajirushe nalo wikiendi hii😂😂you're welcome, na pia hongera sana naona member wengi sana wanaijua haiba yako
siyo vitu vyake hivyo, labda mtaalamu Ponjoro wa Kinondoni na mwenzake Muimba SINGELIMrushie Vincenzo Jr namba ya tipwa tipwa lolote akajirushe nalo wikiendi hii
Kabisa kakayou're welcome, na pia hongera sana naona member wengi sana wanaijua haiba yako
Unaniangusha shehe.Hata uchawa kwa CCM umekushinda?Nenda ukale hela za wezi wa hii nchi mkuu.10. mimi ndo nipo confused
11 Jobless
Mwenye connection anipe
Haaahaa cha kunywa pombe Kila sikuuu 😂😂😂😂😂we na min me mnakitengo chenu spesho 🍻🍻😅
Kuna shamba boy kula kulala kwa boss10. mimi ndo nipo confused
11 Jobless
Mwenye connection anipe
😀😀😀Kuna moja hujaiandika hapo ingeenda Kwa Smart911. Huyu jamaa yupo kama Alikiba yaani anakula nyama ananyamaza kimyaa halafu waliwa ndio wanapapatika kelele nyingi ye hawazi wala nini katulia tuli anawasoma Tu😂😂😂
Dah wewe ni mtu wa amani😅, we ni mtu wa kuwa roast wenzako ni watoto wakikua wataacha, kama we ni mkubwa sana vile😂😂😊😊🙏 Shukrani Mkuu
Sijui hata nikujibu nini anyway ……Dah wewe ni mtu wa amani😅, we ni mtu wa kuwa roast wenzako ni watoto wakikua wataacha, kama we ni mkubwa sana vile😂😂
Tuma contacts tuingie mkataba, boss hana mtoto nitamfundisha na tuition✊🏽Kuna shamba boy kula kulala kwa boss
Renumeration @ 100,000 TZS