Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Amen kama kweli basi sitaishia salaam tu...Amiin
Amen kama kweli basi sitaishia salaam tu...Amiin
Unaonewa au ndio ukweli!?Dah!! Angel Nylon njoo uone navyoonewa huku... 😅😅
Njoo nikuelezee vizuri ukweli ni upi...Unaonewa au ndio ukweli!?
Yani kila mahali unaonewa wewe 😤
Sawa kaka ni hapo mkuranga utaweza kumwagilia mananasi kwa kutumia ndoo (keni)Tuma contacts tuingie mkataba, boss hana mtoto nitamfundisha na tuition✊🏽
Ila weye....nimekuvulia kofia 🙌🙌🙌Njoo nikuelezee vizuri ukweli ni upi...
Nitakua home kuanzia saa tatu tatu usiku...
😁😁😁😁 sasa mkuu mbona kazi zinabadilika..Sawa kaka ni hapo mkuranga utaweza kumwagilia mananasi kwa kutumia ndoo (keni)
Kazi ni shamba boy 😂😂😅😁😁😁😁 sasa mkuu mbona kazi zinabadilika..
Shamba tumefikaje sasa comrade
Au mchongo umegeuka mchongoma 😁
Kofia ya nini unanivulie sitaki...Ila weye....nimekuvulia kofia 🙌🙌🙌
Hahahaha3 nq 4. Hyo nahisi inaenda kwa Vincenzo Jr na Mshana Jr
Kama sivai jee hio pichu? 😝Kofia ya nini unanivulie sitaki...
Nataka univulie pichu... 😘😍😋
Safi sana kama huvai...Kama sivai jee hio pichu? 😝
Pana watoto hapa.....hiari yako na balaa lakoSafi sana kama huvai...
Basi utanipandishia hata habaya...
Loh! Mbona mwanisingizia hivi🥲🥲Kuna mtu kasema namba 5 inakuhusu😂