Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

Kuna moja hujaiandika hapo ingeenda Kwa Smart911. Huyu jamaa yupo kama Alikiba yaani anakula nyama ananyamaza kimyaa halafu waliwa ndio wanapapatika kelele nyingi ye hawazi wala nini katulia tuli anawasoma TuπŸ€ΈπŸ˜‚
 
Kuna moja hujaiandika hapo ingeenda Kwa Smart911. Huyu jamaa yupo kama Alikiba yaani anakula nyama ananyamaza kimyaa halafu waliwa ndio wanapapatika kelele nyingi ye hawazi wala nini katulia tuli anawasoma TuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…