Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
πππ Marhaba.. Sahihi mkuu, mimi na wadada vibonge ni kama Mshana Jr na tunguli au busha na msuli.siyo vitu vyake hivyo, labda mtaalamu Ponjoro wa Kinondoni na mwenzake Muimba SINGELI
Kuna mtu kasema namba 5 inakuhusuπMimi hapa waifu material mtu wa amaniπ«
Dah!! Angel Nylon njoo uone navyoonewa huku... π πKuna moja hujaiandika hapo ingeenda Kwa Smart911. Huyu jamaa yupo kama Alikiba yaani anakula nyama ananyamaza kimyaa halafu waliwa ndio wanapapatika kelele nyingi ye hawazi wala nini katulia tuli anawasoma Tuπ€Έπ
Wee sema kweliπ ,. We jamaa mafia Sana ila Tu ndio hivyo WA chinichini bila keleleDah!! Angel Nylon njoo uone navyoonewa huku... π π
Ukiwa na muda nishtue twende pamoja kanisani...Mmmh,. Hilo kanisa mbona naliogopa kama kweli umeokokea hapoπ
Kama ni kweli,. Tunavyoenda itabid na Mimi nikaokoke kabisa Kesho hiyohiyoUkiwa na muda nishtue twende pamoja kanisani...
Kwanini mkuuNdugu umepoteaa
Ondoa shaka siyo tu kuokoka hata kileleni utafikishwa... Pepeoni...Kama ni kweli,. Tunavyoenda itabid na Mimi nikaokoke kabisa Kesho hiyohiyo
Maana wewe ni ushuhuda
That's the spirit... For real girl...For real manπππ
AmiinOndoa shaka siyo tu kuokoka hata kileleni utafikishwa... Pepeoni...
Sijauona huu uzi mapema..makaveli10 na Half american watu wa amani sana.