Amen kama kweli basi sitaishia salaam tu...Amiin
Unaonewa au ndio ukweli!?Dah!! Angel Nylon njoo uone navyoonewa huku... π π
Njoo nikuelezee vizuri ukweli ni upi...Unaonewa au ndio ukweli!?
Yani kila mahali unaonewa wewe π€
Sawa kaka ni hapo mkuranga utaweza kumwagilia mananasi kwa kutumia ndoo (keni)Tuma contacts tuingie mkataba, boss hana mtoto nitamfundisha na tuitionβπ½
Ila weye....nimekuvulia kofia πππNjoo nikuelezee vizuri ukweli ni upi...
Nitakua home kuanzia saa tatu tatu usiku...
ππππ sasa mkuu mbona kazi zinabadilika..Sawa kaka ni hapo mkuranga utaweza kumwagilia mananasi kwa kutumia ndoo (keni)
Kazi ni shamba boy πππππππ sasa mkuu mbona kazi zinabadilika..
Shamba tumefikaje sasa comrade
Au mchongo umegeuka mchongoma π
Kofia ya nini unanivulie sitaki...Ila weye....nimekuvulia kofia πππ
Hahahaha3 nq 4. Hyo nahisi inaenda kwa Vincenzo Jr na Mshana Jr
Vayolensi kila sehemu πππKuna moja hujaiandika hapo ingeenda Kwa Smart911. Huyu jamaa yupo kama Alikiba yaani anakula nyama ananyamaza kimyaa halafu waliwa ndio wanapapatika kelele nyingi ye hawazi wala nini katulia tuli anawasoma Tuπ€Έπ
Kama sivai jee hio pichu? πKofia ya nini unanivulie sitaki...
Nataka univulie pichu... πππ
Safi sana kama huvai...Kama sivai jee hio pichu? π
Pana watoto hapa.....hiari yako na balaa lakoSafi sana kama huvai...
Basi utanipandishia hata habaya...
Loh! Mbona mwanisingizia hiviπ₯²π₯²Kuna mtu kasema namba 5 inakuhusuπ