Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Wewe Nina ukakasi na uanamume wako isije ikawa unatumia ile njia ya tatu?

Hivyo vitu vyote vya nini?
 
Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Well said,boksa inavaliwa mwezi mzima[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…