Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Boksa ziko 2, moja ikichafuka inatupiwa chini ya uvungu wa kitanda baada ya wiki ukija kuitoa huko chini ya uvungu ukiisimamisha inasimama dede tu,hahah

Nazingua aisee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.

Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.

Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Je mwanaume wanao oga mara moja nayo je?
 
Tunaogea sabuni yoyote itayokatiza mbele..hata omo au puff
Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.

Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.

Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…