Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Hivi ulivyotaja hapa walio navyo hawazidi 20.

Sabuni tu za kuongea wanatumia B29 za sh 300 zile tunaosheaga vyombo.

Povu...karibu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaogea mpaka Omo tena zile zakufunga [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
[emoji818] [emoji736] kwanguo za ndani duu mtihani na siku hizi wanavyo vyaa kata k, jamani jamani hizo boxer ni mara mia dekio langu la nyumbani
 
Anapakwa skrabu, anafanyiwa pedikyu na manikyu na masaji...mwanaume unafanyiwaje vyote hivyo...tunasema huo ni umazeri
Anaenda barbershop zaidi ya mara mbili kwa mwezi si unajua bei za barbershop za town kuna mambo mengi mengi
 
Pafyumu ya nini? Utakuwa kwapa lako linatema sana wewe.

Wengine shughuli zao haziitaji mambo ya marashi marashi.
 
KAUZE MITUMA YA SIMU ACHANA NA SISI AISEE
WE NI MWANAUME WA DAR
 
Hayo yote uliyoyataja yanaweza kufanywa na vibenten tu na kina James Delicious
 
Mwanaume wa kweli hata perfume hukumbushwa na mkewe kupiga sembuse hizo tatu unataka kuanzisha duka la cosmetics ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…