Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Wa kwako anazo boxers ngapi?? na yeye anarudia nguo za ndani?
 
Hahaaaa!jitahudi Mr wako mnunulie

Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia 😁 sio haya ma sabuni ya vipande
 
Humu kuna watu hata ukiangalia avatar zao tu unajua wapo smart,ukiwa na uwezo wa kuvaa vizuri pendeza tu kuna mchizi humu huwa navutiwa na picha zake ananifanya mpaka namimi niwe natupia siku hizi.
Wanawake wengi wanavutiwa na mwanaume anayevaa na kupendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…