Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
Wa kwako anazo boxers ngapi?? na yeye anarudia nguo za ndani?Mi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi