Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

Ni wapi mahala sahihi ku-enjoy na mpenzi?

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
994
Habari waungwana,

Ebana mimi nataka kujua, kufahamishwa sehemu nzuri hapa mjini Dar es salaam za kutoka na mpenzi wangu na akafurahia ambapo kuna usalama zaidi n.k.

Badget yangu ni TZS 70000
[emoji3577][emoji6]
 
Nilisahau badget yangu ni 70k
Sehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako(No offense).

Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k (utakaa kinyonge sana kiongozi)

Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.

Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.

Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.

Ama hakika na chench itabaki na kuna Christmas inakuja, if you know you know
 
Sehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako.

Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k

Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.

Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.

Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.
Aaah nafikiri umenipeleka 5 stars, nilimaanisha pahala popote ambapo ni quite, chakula kizuri na usalama tu afu usafiri siwezi upigia mahesabu maana ninatumia pikipiki yangu...
 
It depends kama ni wako ama umeazima tu kwa mwanamme mwenzio kwa ajili ya starehe, kutoka kwa mwanamme mwenzio.

Manake hapo pa sehemu salama sijapaelewa wakati wewe mwanamme unatakiwa uwe usalama tosha.
Usalama huu ni sehemu ambapo huduma nzuri na hakuna wizi au matukio yoyote ya kihalifu, mfano mimi usafiri wangu ni pikipiki sasa naweza kuwa nimekaa huku usafiri wangu unaibiwa and no one cares...
 
Kama mpenz wa Movie nenda Cinema ya Karibu yako leo ijumaa zinakuwaga Movie mpya ukimaliza beba take away kutoka fast food ya karibu kama n subway au nn nenda kale na mpenz wako nyumbani kwenu siku imeisha
Interesting...
Nalifanyia kazi hili...
 
Back
Top Bottom