Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako(No offense).Nilisahau badget yangu ni 70k
70K ni kiasi kidogo kiwango hicho?Sehemu salama kwa bajeti hii ni nyumbani kwako
Aaah nafikiri umenipeleka 5 stars, nilimaanisha pahala popote ambapo ni quite, chakula kizuri na usalama tu afu usafiri siwezi upigia mahesabu maana ninatumia pikipiki yangu...Sehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako.
Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k
Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.
Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.
Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.
Usalama huu ni sehemu ambapo huduma nzuri na hakuna wizi au matukio yoyote ya kihalifu, mfano mimi usafiri wangu ni pikipiki sasa naweza kuwa nimekaa huku usafiri wangu unaibiwa and no one cares...It depends kama ni wako ama umeazima tu kwa mwanamme mwenzio kwa ajili ya starehe, kutoka kwa mwanamme mwenzio.
Manake hapo pa sehemu salama sijapaelewa wakati wewe mwanamme unatakiwa uwe usalama tosha.
Interesting...Kama mpenz wa Movie nenda Cinema ya Karibu yako leo ijumaa zinakuwaga Movie mpya ukimaliza beba take away kutoka fast food ya karibu kama n subway au nn nenda kale na mpenz wako nyumbani kwenu siku imeisha
Interesting...
Nalifanyia kazi hili...
Nilisahau badget yangu ni 70k