Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kigamboni mji mwema patakufaa zaidi, 20 kwa 20 unapata na ni karibu na mjini bora adha ya kuvuka pantoni kuliko kwenda kujenga Chanika utajuta.Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Maeneo unaweza kupata Kigamboni,Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Labda uelewa wangu ila nahisi huna nia ya kumsaidia mtoa mada,sinza pale darajani..anaingia kushoto upande wa tandale...anapata eneo mbona sema ni karum kamoja..choo kujitegemea ..yaani hapo ni kulala tu...ikija mvua unakua unalala kwenye ile AFM..Automatic Floating Matress...aka Water Banco
Mbweni vipi hapati
Kibwegele iko wapi mkuu?Nakushauri uende chanika, kibwegere, kigogofresh kwa mbele huko, vikindu,
Mkuu hicho ni Kiwanja cha ukubwa gani?Nitafute nikupe kiwanja madale kwa 7.8 unilipe kwa awamu
Kibaha maeneo ya kilivya nicheki kipo nakupa kwa Mil 4 kamiliHabari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Nadhani iko mbezi mwisho kama unaenda kibamba upande wa kushotoKibwegele iko wapi mkuu?
Ndio mil4 eneo anapata
hahahahhaha kmmmkMbweni ipi?wacha kutuchafulia
Njoo dm mkuu mimi ni dalali ucjal unapata site nzuri mkuuHabari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Kwa nn hawezi kupata?Huwezi kupata eneo ndani ya Dar es salaam kwa hela hio mzee! Maeneo yapo Mkuranga kwa hio pesa unapata eneo kubwa tu la kutosha. Hio ni Kilwa road!
Upande wa Bagamoyo road pia yapo maeneo Vikawe ni mbele kidogo ya bunju unapata eneo freshi kubwa tu 20*20 au zaidi!
Morogoro road ni kuanzia mbele ya kibaha hapo. Kama upo tayari tunaweka wese tunaenda kamata eneo chap!
468sqmMkuu hicho ni Kiwanja cha ukubwa gani?
Hiki si kwa ajili ya kujenga choo tu na bafu?468sqm
Mbweni hii hii ama mbweni ya ushirombo huko 😂😂Mbweni vipi hapati