Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Sasa Buyuni sindio yale yale tu! Unakuta eneo lilipo na city centre kama kariakoo,mnazi ama posta distance yake ni 25KM+ yani ni lazima pawe mbali tu!Au aende mbele ya Kigamboni kunaitwa Buyuni na vimepimwa. Kwa bei hiyo atapata kizuri tu..
By the way, kuna watu huwa wanadanganyana sehemu kama Mbagala etiunaweza pata eneo zuri kwa bei rahisi...
😅😅😅😅😅😅😅 ndiko maeneo ya kitonga yalipo! Kama hataki anataka karibu na mjini basi aandae 15M au zaidi akawavue watu waliopo karibu na mjiniKisemvule siyo Dar
Kimara ipi utakayouziwa eneo 4m? We una masihara kweli mtu labda akuuzie eneo lenye vichuguu 😅 na milima na mabonde ambalo limemshinda!Kuwa na subra hata kimara huko ndani unapata. Hii mentality ya kwamba Dar ni expensive kote sio sawa.
Sinza ya mbele ya Kibiti sio?😂Sinza unapata
Kuna mtu kasema Mbweni anapata 😅😅😅 amtafute! Kilio cha samaki chajaMbweni hata mil 20 hupati
Chanika tena mzee? Usije ukampiga jamaa banaYapo kibao njoo pm nikupe Chanika kigambon mbagara achana na watu wa mitandaon aisee wanatisha sana watu
Shida sio uwepo wa viwanja bei gani? Ukumbuke madalali wapo kazini pia 😅Kiluvya unapata ila nadhani pia kifuru hali ya hewa unapata na huku njia ya majumba 6 pale darajani kupandisha juu kule vipo viwanja unapata
Asee kulipa 4,000 ili nikalale kwangu kila siku hio biashara itanishinda 😅! Ni sawa na Minimum ya 120,000 kila mwezi ambayo inanikera tu kwa roho!Kigamboni mji mwema patakufaa zaidi, 20 kwa 20 unapata na ni karibu na mjini bora adha ya kuvuka pantoni kuliko kwenda kujenga Chanika utajuta.
Ukishamalizana na matapeli wote ukiwa upo tayari kununuwa kiwanja nicheck nitakukabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa unamaliza shida yako.
Hakuna mjanja yoyote anayekaa mbali na city center, viwanja vipo tatizo wabongo ujuwaji mwingi.
Ukipiga distance lazma ikupe 25km+ toka city centreKibaha maeneo ya kilivya nicheki kipo nakupa kwa Mil 4 kamili
Ndio bei zake hizo! Ukitaka kumvua mtu na mjengo wake kieneo kidogo tu cha 15 kwa 20 tu lazma akucheulishe 150M au zaidi tena ndani ndani sio road!Du sinza itakuwaje
Jamaa anataka mjini ndio kipengele chenyewe kilipo!Wewe mkulima huijui Dar kaa kimya.
Dar mpaka viwanja vya millioni 2 vipo, ni swala la location tu.
Kiluvya mpaka Posta now unatumia dakika 30 tu tena hiyo maximum ukiendesha 50km/hUkipiga distance lazma ikupe 25km+ toka city centre
Chanika tena mzee? Usije ukampiga jamaa bana
Chanika tena mzee? Usije ukampiga jamaa bana
Shukrani kwa kueleweshaIko Kibamba,ukifika Kibamba shule ukitokea Mbezi unaingia kulia .Kuna kibwegere ,kibweheri na hondogo.
Kiluvya mpaka Posta now unatumia dakika 30 tu tena hiyo maximum ukiendesha 50km/h
Wakati unaweza toka Mbagala mpaka mjini na foleni ile ukatumia hadi 1 hr, mambo yamebadilika siku hizi
Kifuru hali ya hewa sio kisarawe kule?Kiluvya unapata ila nadhani pia kifuru hali ya hewa unapata na huku njia ya majumba 6 pale darajani kupandisha juu kule vipo viwanja unapata
Kibaha posta ni dk 30/40 na Barabara Bado ilikuwa haijafunguliwa yote.. ujenzi ulikuwa unaendelea. Kiluvya posta 30 minutes muda ambao sio rush hour ni sawa kabisaKiluvya ipi hiyo unayotumia dk 30 kwenda Posta?
Hivi unapajua Kiluvya au unatype type tu?
Malamba mawili king'azi kwa bei hiyo labda miguu 10-10Jarib na Mbez mwish na maeneo ya Maramb Mawili , King'azi ( Ila hapa uhakika labd uwe hujaridhika nako tu)
Kibaha posta ni dk 30/40 na Barabara Bado ilikuwa haijafunguliwa yote.. ujenzi ulikuwa unaendelea. Kiluvya posta 30 minutes muda ambao sio rush hour ni sawa kabisa