Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.
Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu
Mkuu! Sasa hivi hatupo tena chini ya sheria! The blood of jesus flee us from laws! We are now free! Usikariri!
Bahati mbaya hakuna nyama safi ya kitimoto..!! Misahafu inakataza sana kula kitimoto. Kwa hiyo kitimoto ni haramu kuliwa na waja wa Allah. Ukisoma maandiko ya Allah kwenye Biblia kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7 imekatazwa sana kula na hata kugusa mzoga wa kitimoto, tena inafanza maradhi ya kifafa.
Kwahiyo blood of jesus flee u from everthing hata wabakaji wauaji makafili mashoga etc etc....du mkuu mbona sarakasi and by the way why tunaenda church tunafanya ibada etc wakati yesu amekufa kwa ajili ya dhambi zenu???? kahtaan
mkuu umevamia uzi usiokuhusu, sio lazima uchangie kila uzi.Kwahiyo blood of jesus flee u from everthing hata wabakaji wauaji makafili mashoga etc etc....du mkuu mbona sarakasi and by the way why tunaenda church tunafanya ibada etc wakati yesu amekufa kwa ajili ya dhambi zenu???? kahtaan
Hebu ni PM nikuelekeze ukale sasahivi
hahahaaaaaa sidanganyiki ile kitu tamu sana
umenena,hivi allah ni nani hadi awe na authority kwenye mambo ya kitimoto mbona kwenye bible hajatajwa, au walimsahau
Halafu kipindi cha mfungo wa ramadhani ktmoto inadoda walaji hamna hapa ndio huwa nakosa imani mpaka basi