Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.
Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu
Bahati mbaya hakuna nyama safi ya kitimoto..!! Misahafu inakataza sana kula kitimoto. Kwa hiyo kitimoto ni haramu kuliwa na waja wa Allah. Ukisoma maandiko ya Allah kwenye Biblia kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7 imekatazwa sana kula na hata kugusa mzoga wa kitimoto, tena inafanza maradhi ya kifafa.