Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Karibu sana ,ni pazuri mno hutojutia vyakula vya kila aina plus vivutio kama Matema Beach(lake Nyasa), kimondo Mbozi, kapologwe water falls, God's bridge, Rungwe volcanic mountain. Kateputepu(daraja linalochezacheza)nk, Utaenjoy sanaa.
Ooh inabidi december nifike huko aisee umenitamanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁

Mkuu samahani kwa usumbufu, hicho kisiwa kimejengwa kabisa? Mahoteli, Mitaa au ni sehemu ya relaxing na kuondoka?
kumejengwa facilities zote muhimu kwa kula raha ,wanakupokea Dar airpot na chopper yao hadi kisiwani au Mafia na boat hadi kisiwani kwao
 
kumejengwa facilities zote muhimu kwa kula raha ,wanakupokea Dar airpot na chopper yao hadi kisiwani au Mafia na boat hadi kisiwani kwao
Aisee ngoja nitafute pesa nije kushuhudia kabla ya kununua kisiwa changu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…