Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natamani kwenda Mbeya nasikia ni kuzuri.How i wish[emoji39][emoji39],ila siku ntakuja tu kutembea
Karibu sana ,ni pazuri mno hutojutia vyakula vya kila aina plus vivutio kama Matema Beach(lake Nyasa), kimondo Mbozi, kapologwe water falls, God's bridge, Rungwe volcanic mountain. Kateputepu(daraja linalochezacheza)nk, Utaenjoy sanaa.
Lack of capitalNaaaam
Forced labour
Taxation
Land alienation
Malizia
komesha korona
Ooh inabidi december nifike huko aisee umenitamanisha.Karibu sana ,ni pazuri mno hutojutia vyakula vya kila aina plus vivutio kama Matema Beach(lake Nyasa), kimondo Mbozi, kapologwe water falls, God's bridge, Rungwe volcanic mountain. Kateputepu(daraja linalochezacheza)nk, Utaenjoy sanaa.
Lack of capital
Poor farming methods [emoji3][emoji3]
Inapatikana eneo/mkoa gani?Thanda Private Island, hapa hapa BoNgo
Iko uelekeo wa MafiaInapatikana eneo/mkoa gani?
Kwa nini ni private?
Kinamilikiwa na waTanzania?Iko uelekeo wa Mafia
Ni private kwa sababu wenye mkwanja walishakinunua chote.
Ni 25,000 USD kwa siku na minimum siku 5 mkuu mnakaa mule fresh tu
Na mabeberuKinamilikiwa na waTanzania?
😁😁😁Na mabeberu
kumejengwa facilities zote muhimu kwa kula raha ,wanakupokea Dar airpot na chopper yao hadi kisiwani au Mafia na boat hadi kisiwani kwao😁😁😁
Mkuu samahani kwa usumbufu, hicho kisiwa kimejengwa kabisa? Mahoteli, Mitaa au ni sehemu ya relaxing na kuondoka?
Aisee ngoja nitafute pesa nije kushuhudia kabla ya kununua kisiwa changu.kumejengwa facilities zote muhimu kwa kula raha ,wanakupokea Dar airpot na chopper yao hadi kisiwani au Mafia na boat hadi kisiwani kwao
Lakini Songea si mkoa!!!Mie natamani kutembelea mikoa yote ya tanzania na hadi sasa nimetembelea baadhi tu ambapo Songea bado
Kwa jinsi ulivyosifia, nadhani ni kwenu!!Karibu sana ,ni pazuri mno hutojutia vyakula vya kila aina plus vivutio kama Matema Beach(lake Nyasa), kimondo Mbozi, kapologwe water falls, God's bridge, Rungwe volcanic mountain. Kateputepu(daraja linalochezacheza)nk, Utaenjoy sanaa.