Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Mkuu we ndo unaujua mziki
 
Na ndiyo maana hata Diamond mnamtizama yeye badala ya mziki wake. Hata huyo Harmorapa akijakupata mafanikio utamuondoa kwenye kundi la wasiojua kuimba.
Mimi simtizami Diamond kimafanikio ya kiuchumi ninamtizama kwa kazi zake za muziki hasa zile za mwanzoni

Siku hizi anapwaya na anaimba hovyo hovyo ila naaknowledge nyimbo zake za mwanzoni.
 
Madee Seneda
Snura
Shilole
Mh temba
Neema wa Mitego
Dudubaya
Harmonize


Hao sielewagi wanafanya nini kwenye muziki
 
List yangu ni hii;

Ney wa mitego.
Queen darlin.
Abdu kiba.
Snura.
Shilole.
Baba levo

Bila kuwasahau na waimba singeli wote
Singeli ni kipaji kile hata we jarbu kuunga maneno alf yawe na vina then uende kwa ile speed ya nyimbo ina dkka 6 hdi nane uone kama haufii njian au sikiliza ujuzi wa dulla makabila nymbo yake ile ya tabia yake alf useme hajui wanapokosea tu nikutumia mdundo mmoja na kuigana baadh ya style za uimbaji
man fongo
sholo mwamba
msaga sumu
mczo
doggo nigga
yuda msaliti
Mc dulla makabila

hawa ndo wanao jua kwangu mm
 
Shishi
Snura
Malaika
Nay wa mitego
Queen darling
Hemedi PhD
Jokate(hajui chochote)
Abdukiba
Usimkosee heshma Hemed Phd jamaa anajua sema anadharau sana that y hana media support anajua kuandka na kuimba pia labda huwe hujasikiliza nyimbo hz

Rest of my life ft Mr blue
On my wedding day
Ni wewe ft Deddy
I am going crazy
 
Na ndiyo maana hata Diamond mnamtizama yeye badala ya mziki wake. Hata huyo Harmorapa akijakupata mafanikio utamuondoa kwenye kundi la wasiojua kuimba.
Ww nawe una chuki binafsi tu hakuna kingne
 
Ka google
Usipende kuongea vitu kwa kukariri,kwa nini watu wawe na chuki na Diamond ni lipi lenye kufanya watu wawe na chuki na huyo jamaa maana kama mafanikio yake mbona wengi tu wana mafanikio na watu hawana hizo unazoita chuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…