mtoamada alikua na nia nzuri kabsa lakini kakosea sana hiyo list ya wasanii alowaweka kuanzia peter msechu ,tundaman mpaka nay wamitego hao jamaa wanaimba labda huujui muziki vizuri.mtu kama nay muziki anaujua sema anastaili zake za kuchukua attention. .....muziki ni ubunifu na akili vinginevyo utafeli tu......kutoka kwenye game inaweza kua rahisi lakini kumaintain ni kitu kingine kabsa......hata zaman kuna wasanii walihit na ngoma moja mbili wakapotea na kila wakijaribu kurud hamna kitu..........
1.harmorapa sio msanii huyu analazimisha nadhani management yake ilijua tu ni rahis kupata kiki kwa style alotumia na mwonekano wake
2.wale jamaa wa zenji aboys muziki waache
3.pam daffa sielewi anaimba nini
4.snura sio mwanamuziki wala shilole wanabebwa tu na mionekano nk
5.harmonize sielew muziki wake bado
6.abdu kiba anabebwa tu na jina la kaka yake
7..........