Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Mnaosema na kumtaja Mond mnakosea aisee japo ni mawazo na mtazamo wenu.. Hyo nimeikuta kwenye mall za windhoek Namibia na Lusaka zambia na jarida linauzika sana tu..
 
Kaka kwa mond kuwa serious basi
Wengi mnapomzungumzia mond huwa mnasukumwa na mafanikio yake ila bila ya hivyo hata asingeshindanishwa na Kiba,ila mafanikio yake ndiyo sababu na ni kweli ana mafanikio.

Hata yeye mwenyewe anajua hilo hana kipaji ila anajituma.
 
Kwa bahati mbaya sana nimeanza kumkubali mondo kipindi kile
Mbagala
Kamwambie
Nitalejea
Ukilala
My number one sio ujinga huu wa kokoro
Ni kweli jamaa huwa ana kipaji na nyimbo za zamani ni nzuri ila siku hizi anaimba ujinga tupu
 
list yako nimeikubali sana ila sijui kwanini mensen namkubali sana
 
Ney wa mitego, Gigy money, Shilole, Snura...... Hawa watu huwa sielewi wanaimba nini. Lakini ndio hivyo wanachofanya kimewaboreshea maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…