Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliPeter msechu hapana
Wengi mnapomzungumzia mond huwa mnasukumwa na mafanikio yake ila bila ya hivyo hata asingeshindanishwa na Kiba,ila mafanikio yake ndiyo sababu na ni kweli ana mafanikio.Kaka kwa mond kuwa serious basi
Tunaongelea muziki wake sio mafanikio yake?Mnaosema na kumtaja Mond mnakosea aisee japo ni mawazo na mtazamo wenu.. Hyo nimeikuta kwenye mall za windhoek Namibia na Lusaka zambia na jarida linauzika sana tu..![]()
Kwani kipi kilichokufanya ushangae? si tunazungumzia kulazimisha muziki au ?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ushawahi hata kusikia nyimbo yake mkuu huyo Harmorapa?Hao watatu wa mwanzo ni wakali na wana vipaji ila Harmorapa hakuna kitu huyo.
Tuletee na list ya wacyoforce wasiyo na mafanikioWasanii wanaoforce mziki na na mziki ukawapa mafanikio kimaisha.
Diamond
Nay wa mitego
Madee
Shilole
endelea...
AY historia na hustle zake vinamlindaWatu huwa wanamwogopa huyo AY hata kumkosoa tu, sijui kwanini.
list yako nimeikubali sana ila sijui kwanini mensen namkubali sana
- Luludiva
- Abdukiba
- Amberlulu(ila amejua jinsi ya kunogesha wimbo wake wa 'watakoma' ni mzuri)
- Shilole
- Snura
- Harmonize
- Bonge la nyau
- Mensenselekta
- Pham dafa
- Shetta(huyu arudie style yake aliyoanza nayo)
- Hemedi PhD (hajui kuimba ila nyimbo zake ni nzuri nazikubali)
Natamani nnge-like comment yako mara mia mbili,jmn hajui kuimba yule jamani,kamaa vile ray kigosi asivyojua kuigizaHemed suleiman
[emoji23][emoji23][emoji23] swala la ray kigosi inabidi lianzishiwe uzi, maana nalo ni la msingiNatamani nnge-like comment yako mara mia mbili,jmn hajui kuimba yule jamani,kamaa vile ray kigosi asivyojua kuigiza