Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Itakuwa mtoa mada ndo hajui radha ya mziki mzuri msechu yuko poa, hasa kwenye ule wimbo aliimba na Amini alifanya poa sana
Mimi sijui Radha ya muziki, najua Ladha ya Muziki.
 
Hiyo 10 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm sauti ya chege naipendaga hivohivo
 
Chege huwa ana ujumbe aicee
 
Shishi
Snura
Malaika
Nay wa mitego
Queen darling
Hemedi PhD
Jokate(hajui chochote)
Abdukiba
 
Msechu ni mwanamziki ameanzia makanisani ni mtalaam wa music tunda man ni fundi wa kuimba sema hapa Kati kalega kidogo harmorapa kuimba hajui ila anajitaidi kutafuta kiki
 
We jamaa inaelekea wewe ndo huujui mziki maana katika hiyo list yako asiyejua mziki ni ney peke yake
 
KR MULLA aka UNDER GROUND MKUBWA
 
Japo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
Hili jamaa lenyewe ndo halijui mziki ndomana limemtaja tunda na msechu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…