miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
Yeah kawaacha watu kibao kina snura shilole nyandu etcYap. Unaitwa nyota ni wimbo mzuri Sana.mtoa mada amezingua kumtaja msechu kwamba hajui mziki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kawaacha watu kibao kina snura shilole nyandu etcYap. Unaitwa nyota ni wimbo mzuri Sana.mtoa mada amezingua kumtaja msechu kwamba hajui mziki.
Hata mm namkubali sana hasa hasa beat zakelist yako nimeikubali sana ila sijui kwanini mensen namkubali sana
Ila hemed sauti anayoNatamani nnge-like comment yako mara mia mbili,jmn hajui kuimba yule jamani,kamaa vile ray kigosi asivyojua kuigiza
Mkuu kauliza wasanii. Hamo rapa sio msanii!!Harmo rapa
Hiyo 10 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm sauti ya chege naipendaga hivohivo1, Gigy money hajui anatuonyesha jinsi ya kutikisa makalio
2, Harmorappa comedian
3, shilole aibu tuu anafanya
4,snura hawajatofatiana na shilole Sana'a waanzishe madarasa ya kufundisha unyago
5,Abdukiba, jina la kaka linamueka mjini
6,Queen Darling ,jina la kaka linampa fursa
7,Ney wa mitego , hiphop michambo
8, luludiva simwelewi
9, Nuh mziwanda
10, chege na tunda man ,,sauti zinakwaruza tuu sema ujumbe wa nyimbo zao
Alikua ananiboa mnoSidhani kama anaendelea na mziki. Naona alishtuka mapema sio fani yake
beat zake nzuri, ila zina mfanano sanaHata mm namkubali sana hasa hasa beat zake
Chege huwa ana ujumbe aicee1, Gigy money hajui anatuonyesha jinsi ya kutikisa makalio
2, Harmorappa comedian
3, shilole aibu tuu anafanya
4,snura hawajatofatiana na shilole Sana'a waanzishe madarasa ya kufundisha unyago
5,Abdukiba, jina la kaka linamueka mjini
6,Queen Darling ,jina la kaka linampa fursa
7,Ney wa mitego , hiphop michambo
8, luludiva simwelewi
9, Nuh mziwanda
10, chege na tunda man ,,sauti zinakwaruza tuu sema ujumbe wa nyimbo zao
Ni nani?Mkuu kauliza wasanii. Hamo rapa sio msanii!!
KR MULLA aka UNDER GROUND MKUBWAHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
Hili jamaa lenyewe ndo halijui mziki ndomana limemtaja tunda na msechuJapo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti