Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Wote hawa ni lazima wachanjwe Kumbe ishakuwa lazima.......askari wetu walio mstari wa mbele kutupatia HUDUMA ZA AFYA;
1)Manesi(nurses)
2)Madaktari (Doctors)
3)Wataalam wa maabara....
Usitusemee..mimi na mke wangu tunahitaji chanjo. Wewe ambae hauna hata ramani ya kwenda huko duniani kaa chini kwa kutulia..wewe ambae haujawahi kupoteza mtu wala kuumwa corona kaa kimya ila ambao tunahitaji chanjo tupoNimesikia baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali wakisema kuwa Watanzania wanasubiri chanjo ili nao waungane na dunia katika mapambano dhidi ya Corona, Leo ningependa kujua hao Watanzania wanaohitaji chanjo wanapatikana wapi?...
Mkuu umesahau unafiki wa wanasihasa wa danganyika....hapo wameshanusa dili la pesa ya mabeberu.Nimesikia baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali wakisema kuwa Watanzania wanasubiri chanjo ili nao waungane na dunia katika mapambano dhidi ya Corona, Leo ningependa kujua hao Watanzania wanaohitaji chanjo wanapatikana wapi?..
Pole sana mkuu kwa kufiwa na baba yako na mama yako kwa CORONA, kweli nimeamini inabidi wakudunge na nyingine unywe.Usitusemee..mimi na mke wangu tunahitaji chanjo. Wewe ambae hauna hata ramani ya kwenda huko duniani kaa chini kwa kutulia..wewe ambae haujawahi kupoteza mtu wala kuumwa corona kaa kimya ila ambao tunahitaji chanjo tupo
Umerudia kile kile ulichomkosoa mtoa mada, mpo wewe na nani?Usitusemee..mimi na mke wangu tunahitaji chanjo. Wewe ambae hauna hata ramani ya kwenda huko duniani kaa chini kwa kutulia..wewe ambae haujawahi kupoteza mtu wala kuumwa corona kaa kimya ila ambao tunahitaji chanjo tupo
Ila atujazie hiyo fomu yetu, asije akatugeuka.Pole sana mkuu kwa kufiwa na baba yako na mama yako kwa CORONA, kweli nimeamini inabidi wakudunge na nyingine unywe.
Ninapendekeza hilo.WOTE HAWA NI LAZIMA WACHANJWE, kumbe ishakuwa lazima.
Mkuu wangu ugonjwa upo....Mkuu umesahau unafiki wa wanasihasa wa danganyika....hapo wameshanusa dili la pesa ya mabeberu.
Ndo maana nikauliza chanjo ishakuwa lazima? au hayo makundi hayatakiwi kujaza consent form kushiriki kwenye majaribio ya chanjo.....wao ni piga, ua, garagaza, ozesha, fukia lazima kuchanja......sasa hapo inakuwa ni kulazimisha, huwezi kuita 'consent'Ninapendekeza hilo.....
Nchi za wenzetu hakuna hiyari kwa hao watoa huduma mahospitalini.....
HEBU TUFIKIRIE:
Mtaalamu wetu wa HOSPITALI anarudi nyumbani kwa mumewe/mkewe na wanawe...hajachanjwa....anaupeleka ugonjwa nyumbani kwa wapendwa wake....tusisahau wao ndio rahisi mno kuambukizwa "DOZI KUBWA" kuliko wengine....
#ChanjoIweLazimaKwaWataalamWaAfya
#MieMlalahoiNinaisubiriKwaHamuHiyoChanjo
Hapana mkuu....Ndo maana nikauliza chanjo ishakuwa lazima? au hayo makundi hayatakiwi kujaza consent form kushiriki kwenye majaribio ya chanjo.....wao ni piga, ua, garagaza, ozesha, fukia lazima kuchanja......sasa hapo inakuwa ni kulazimisha, huwezi kuita 'consent'
Hiyo chanjo haiondoi ugonjwa, maana siyo tiba....Mkuu wangu ugonjwa upo....
Tunao ndugu zetu tena ni vijana tu wako katika mashine za "OKSIJENI" kwa ajili ya huo UGONJWA....
Mkuu kama halijakufika shukuru M/ Mungu tu......
Hakika mkuu....Usitusemee..mimi na mke wangu tunahitaji chanjo. Wewe ambae hauna hata ramani ya kwenda huko duniani kaa chini kwa kutulia..wewe ambae haujawahi kupoteza mtu wala kuumwa corona kaa kimya ila ambao tunahitaji chanjo tupo
Basi usiende kasi sana, kabla hujachanja utahitaji kutusainia fomu yetu......ili tusigeukane mbele ya safari.Hapana mkuu....
Haijawa lazima kaka....
Nimependekeza tu kama mlalahoi huku mitaani mkuu wangu !
Bora kinga kuliko tiba !Hiyo chanjo haiondoi ugonjwa, maana siyo tiba....