Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

Mlipiga hesabu vibaya. Mkizania kuunda jezi za soka na kuwatiamua akina Mdee mtapaa kisiasa.
 
Hapa umeisemea familia yako au darasa lako unalofundisha la kindegateni.?
 
Rubbish, uliambiwa akina Halima wakifukuzwa kuna kitu kitapatikana? mwanachama yoyote lazima afuate utaratibu wa chama
 
Maccm akili zenu wakati mwingine zinathibitisha mlivyo takataka za majalalani. Watu wa hovyo mno nyie viumbe. Mnaumia na nini sasa, Mzee Dee na wenzake ni legancy ya Mwendawazimu na CCM. Sisi CHADEMA hawatuhusu kwa lolote lile.
Wawapokee hukohuko CCM
 

Lazima uunge kwakuwa wewe ulikuwa mtia nia wa ccm kawe ila wajumbe walikunyoosha mnafiki wwe

Duuh! kwel teuz unatafutwa kwa nguvu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app

Ng'wanangwa mbona umekuwa jitu la hovyo hovyo namna hiyo? Yaani unaunga mkono hayo mataputapu?

Huyu jamaa ni mnafiki wa kupindukia.
Mbona mnalazimisha watu wawe na mawazo kama yenu.

Wewe kama umeamua kutokuunga mkono hoja, amua. Hakuna haja ya kulazimishana.

Si mwenyekiti wenu amewaambia muache matusi, hamkumuelewa? Au ndio chama cha kambale!
 

Hao sukuma gang mkuu ni pigo sana kwao, lazima wachanganyikiwe.
 
Yaani Chadema wamechukua jezi za Simba wakavishana
 
Umeumia?
 
Kula like za kutosha mkuu
 
sawaaaa hawatapata kituu!!ww shida yako ni nini??kinachokuuma ni nini??mwanaume kuwa mbea mbea haipendezii!!mnatufanya hata tusioshabikia vyama vya siasa tuone wanasiasa wote mpo mpo!!wao wamefanya maamuzi yao ww unaumia!!shida nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…