mdudu94
Member
- Sep 24, 2017
- 87
- 83
Unazid kuzeeka na teuzi zinakupita tuNaunga mkono hoja
P
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazid kuzeeka na teuzi zinakupita tuNaunga mkono hoja
P
Huyu jamaa ni mnafiki wa kupindukia.
Wenye akili wameshamdharau na kumpuuza.Paskali Mayalla sasa hivi ni kama ana frustration kutokana na wafuasi wa cdm kumpuuza huku mitandaoni. Kwa sasa anatoa nyuzi kila baada ya muda mfupi kama sehemu ya kupunguza machungu yake.
JE wao kuwepo Bungeni Chadema ilipata nini kwa WananchiIli chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe.
Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa mlishapoteza trust kwa wananchi wa kawaida.
Mlishakuwa na tuhuma mbaya za ufisadi, nepotism na kuwa mpompo tu kama wajanja wa kisiasa kwa ajili ya matumbo yenu. Chama cha familia ya akina Chair Man.
Angalieni Join ze chein yenu ilivyozolota. Mmechangisha hizo pesa kiduchu mmetengeza jezi za soka badala ya kununua uwanja wa ofisi.
Pamoja na kuwatimua akina Mdee hakuna jipya mtalopata kisiasa.
Hakuna msukuma mwenye akiliNaunga mkono hoja
P
Kama chizi !! Hapo unaunga mkono hoja ipi ambayo kaizungumza? Kama wasingepewa nafasi ya kusikilizwa au kukata rufaa mngesema.
Lkn sasa mmekosa la kusema.
Kwani CHADEMA walikua wanatafuta kuungwa mkono na umma ktk hili? Umma ulishawaunga mkono kabla hawajapewa nafasi ya kukata rufaa.
Ni lini CCM ilitoa nafasi ya kumsikiliza au kumpa nafasi ya kukata rufaa mwanachama wake aliefukuzw
Ccm ulisema kweli unakufa.malima,mlimwa,makamu Zanzibar etc etc etcWajifunze ukomavu wa siasa kutoka CCM,
kina mapungufu yake lakini hakina maamuzi ya hovyo Kama CHADEMA
P kuna wakati unakuwa biased. Unajua wamefuata utaratibu si ndiyo. Watakuja wengine.Naunga mkono hoja
P
Mbona hamsemi TLP imepoteaCHADEMA kinapotea rasmi kwenye ramani nawaambia.
Subiri timbwili la majina mapya uone mahawara wanavyopeta.
Hawawezi kupeleka majina wakati hawatambui uchaguziCHADEMA kinapotea rasmi kwenye ramani nawaambia.
Subiri timbwili la majina mapya uone mahawara wanavyopeta.
CCM kwenye suala hili la Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema inawatetea sana wakati CCM haipendi wapinzani, unajiuliza kuna Nini? Kuanzia Magufuli ndiye aliyewaingiza mmoja kamtoa jela usiku, Ndugai kawapa ulinzi wasiguswe, KUNA NINI? Au kwa vile Jumuia ya Mabunge chama kinachotawala kisiongoze kamati za bunge, kwa vile Magufuli alitaka bunge la Chama kimoja akafaulu lakini akaona amekiuka taratibu za Jumuia ya Mabunge duniani Sasa akawaweka hawa 19 kukidhi matakwa? Bila hivyo hivi CCM Hawa wasiotaka upinzani wanaweza kuwa watetezi wa hawa 19 kweli?Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe.