Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nakuona sukuma gang ukitetemeka ukiwa karibu na kaburi la mungu wenu.Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe.
Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa mlishapoteza trust kwa wananchi wa kawaida.
Mlishakuwa na tuhuma mbaya za ufisadi, nepotism na kuwa mpompo tu kama wajanja wa kisiasa kwa ajili ya matumbo yenu. Chama cha familia ya akina Chair Man.
Angalieni Join ze chein yenu ilivyozolota. Mmechangisha hizo pesa kiduchu mmetengeza jezi za soka badala ya kununua uwanja wa ofisi.
Pamoja na kuwatimua akina Mdee hakuna jipya mtalopata kisiasa.