Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

Nakuona sukuma gang ukitetemeka ukiwa karibu na kaburi la mungu wenu.
 
CCM pia kuna wabunge wamefukuzwa
Na ole wako ufukuzwe ccm ukate rufaa! Nadhani ilikuwa 2016 Bashe, Msukuma na Malima walihisiwa tu kuwa na maoni tofauti dhidi ya mapendekezo ya mwenyekiti kwenye mkutano mkuu maalum kupunguza wigo wa demokrasia ndani ya chama, ambapo waliishia kuwekwa rumande kabla ya mkutano kuanza na kuachiwa baada ya mkutano kumalizika bila kufunguliwa mashtaka yoyote!
 
CHADEMA kinapotea rasmi kwenye ramani nawaambia.
Subiri timbwili la majina mapya uone mahawara wanavyopeta.
Hili dua la kuku kuwa CHADEMA kinapotea limeanza miaka mingi lakini kila uchwao ndiyo kinazidi kukua, CCM walitamani sana kina Mzee Mdee na Covid wenzake warudishwe ili wapatie pa kuwananga lakini goodness wamesimamia principles na taratibu zikafuatwa Covid19 labda waende CCM au wajiunge na Sukuma gang aliko mlezi wao Ndugai.
 
Lazaro Nyalandu, Hamphrey polepole wako wengi
 
Naunga mkono hoja
P
Wajinga wote wataunga mkono hoja. Lakini wenye akili watauliza kupata uthibiyisho wa nini kilichotumika kuweza kutambua kuwa hakuna political gain. Nani anayeamua kuwa kuna political gain, na vigeso vyake ni vipi?

Vigezo gani vimetumika kuweza kujua kuwa chama kina trust ya wananchi au hakina?

Vingenevyo, hii ni hoja fmom a fool intended for support from fools.
 
Hicho chama kilishakufa hakipo. Akina Mdee watulie tu, tena wakijiunga CCM it will be an asset. Maana Bulaya na Mdee ni wasafi huwezi kulinganisha na Mbowr ambaye ni ajenti wa mabeberu. Nashauri Mama ikiwezekana kama ana nafasi za uteuzi awape ili kuwa keep busy by 2025 wagombee
 
Wajifunze ukomavu wa siasa kutoka CCM,
kina mapungufu yake lakini hakina maamuzi ya hovyo Kama CHADEMA
CCM inaungwa mkono na wasio na akili (kama wewe), CHADEMA inaungwa mkono zaidi na watu wenye akili - hiyo ni report ya TWAWEZA.
 
Huyu mzee anazeeka vbaya kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema"Ujinga wa ujanan unaweza kumalizika lkn wa uzeen lazma muhusika atakufa nao tu.
Mayala amekuwa kuwa mtumwa wa ujinga na unafiki. Mwisho wanafiki huwa ni dhahiri.
 
Usikute kuna siri nzito nyuma ya pazia ambayo wahusika ni baadhi ya viongozi wakuu tu.usikute hao 19 ni kafara ndiyo maana wanashangaa.wanahisi wamegeukwa.
 
You
are missing the point.
Kitu fake kilichotokana na kughushi uwepo wa wale wabunge 19, lazima kisahihishwe.
Thats a milestone in putting wrongs to the right track.
 
Kuna genge la watu wachache wameumizwa sana na uamuzi huu na kujawa na hasira; siyo kwa sababu ya hao wanawake bali kwa sababu uwepo wa hao wanawake bungeni ulikuwa ishara kubwa ya uovu wa mtu wao aliyeuasisi. Wameumia zaidi kwa sababu walijiaminisha ubatili huu utadumishwa kwa mabavu badala ya katiba alimradi kuwamiza na kuwakomoa kundi fulani la wananchi lililolengwa. Mijitu hii haijui kiwango cha uharibifu wa nchi hii kiliofanyika katika miaka ya hivi karibuni. Tofauti na raia wastaarabu wa nchi hii, hii mijitu haisumbuliwi na mihimili ya dola, taasisi na ofisi nyeti za umma zilizotumika kuvunja katiba ya nchi, sheria na kutenda jinai kubwa kukidhi tamaa ovu ya ya uongozi usiokuwa na dira inayosomeka na kueleweka. Badala yake inasumbuliwa zaidi na aibu, hasira na kasi ya kubomolewa kwa kile walichoaminishwa ni sahihi kumbe ni uongo na ubatili mtupu!
 
You

are missing the point.
Kitu fake kilichotokana na kughushi uwepo wa wale wabunge 19, lazima kisahihishwe.
Thats a milestone in putting wrongs to the right track.
So what will happen?
 
Wametimuliwa au wamejitimua. Unaugulia ukiwa wapi?
 
Aya Chadema imekufa CCM na mama wanakubalika mtaani, furahi Sasa [emoji3]
 
tulia babuu, dawa imeanza kuingia usichezeshe kalio sindao itavunjikiamo !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…